Recent content by Jujuman

  1. J

    UPDATES: Mkutano wa CHADEMA jijini London...

    Picha Inayojitokeza ni kuwa Maandalizi hayakuwa Mazuri! Nini sababu? Ni Ukumbi umechangia? Au Uhamasishaji haukuwa Mzuri? Mliokuwepo tusaidieni kuelewa.
  2. J

    Political asylum: Walioshiriki kutaka kumuua Dr Ulimboka

    Ninyi ndio mnaodanganywa ni Kijo simba na kujiita wanaharakati! Mmechelewa sana!
  3. J

    Political asylum: Walioshiriki kutaka kumuua Dr Ulimboka

    Nchi hizo ulizotaja hawatapokelewa wataingizwa katika kundi la magaidi. Aslimia 99.9 hapa JF au Tanzania? Jaribu kutafuta takwimu hapa jf kwanza utona makisio yako hayana ukweli.
  4. J

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Mkuu nimerudi Nakukumbusha tu tuko Tanzania 7,000,000/= Kila ilivyo ni lazima kuwe na Uwiano. kwa hiyo Waalimu, Polisi, Magereza ,Jeshi, Maliasili nk wote watataka sio 7m lakini Uwiano wa hizo. Think!
  5. J

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Mkuu Asante Tusubiri yatakayojiri: Who will blink First!
  6. J

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    C s, kuna mwandishi mmoja aliandika kitabu "Duniani kuna Watu" Na hapa JF kuna Watu: mradi kuna huo uhuru wa maoni basi watu hujiandikia tu. Kuna wale wasiojua nini kinaendelea Duniani au hata hapa nchi wana mifano ya Ajabu. Wengi wao wanadhani Demokrasia ni Ruhusa ya kufanya chochote Unachotaka...
  7. J

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Mkuu hakuna anaetishiwa Nyau, kila jambo lazima liwe na Mstari wake, haliwezi kwenda/kuendeshwa bila kuwa na "Limitation" yake. The so called dhaifu amefikia yake now its up to the Doctors, tha ball is in Doctors court! Hii hapa kwa kiswahili Chepesi: "Kutokana na ukweli huo basi kama daktari...
  8. J

    Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

    Umeipata vema Mkuu 'Omba omba hana Haki/Hawezi kuchagua!
  9. J

    JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

    Ni Mattumaini yangu kuwa kwa nguvu za Mwenyezi Mungu Dkt Ulimbaka atapona na ataweza kutoa Maelezo ya Kisa na Tukio lililomkuta kwa Ufasaha zaidi. Kuna maswali mengi yanayohitaji Majibu na baadhi ya hayo ni Muhusika tu ndio anaweza kuyajibu, Na baadhi nyingine Itaweza kujibiwa na Wahalifu wa...
  10. J

    Dkt. Ulimboka amuumbua mmoja wa wahusika wa utekaji wake!

    Soma ndani ya Mistari Jamaa ni Mzushi anachoripoti Hakileti Maana.
  11. J

    Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

    Mwambieni Kurunzi Asikurupuke tu na kurusha habari.
  12. J

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    Endelea Kudema utafika.....................! Las Mas Bobos
  13. J

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    B Obama. Nadhani umekuja na Hoja nzuri ya kumrudisha Myika na Washabiki wake kwenye Reli Inawezekana Rais JK ni Dhaifu katika kuiongoza nchi yenye Ghasia za Taifa na Kimataifa. Myika anaongoza Kajimbo tu UBUNGO na Ahadi Lukuki alizoahidi kumbe zinamshinda!! na hizo atazisukumia kwenye udhaifu wa...
  14. J

    Waislam waandamana jijini Dar dhidi ya Dk Ndalichako wa NECTA

    NECTA na Wengine kama wao au mfano wao: ni lazim wajuwe kuwa 'They can full some People some time, But they can't full ALL THE PEOPLE ALL THE TIME'.
  15. J

    Kusafisha Nyota Kwa Mganga - Shutuuuu!

    Kwanza uamini kuwa Ipo/Unayo Nyota. Pili je kama unayo ni kweli yaweza kuchafuka? Na tatu kama yaweza kuchauka au kuchafuliwa je yaweza kusafishwa? Na baada ya hayo ndio hatua ya kuamini ikamilike na ile ya kutafuta Msafishaji Itafuata. Jitahidi uendelee kutoamini once ukiingia kutoka ni kazi...
Back
Top Bottom