Recent content by JUDIKAY

  1. JUDIKAY

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Wadada wanaenda kupiga picha na mabegi Airport

    Mwezio anaboresha biashara yake wewe unamuona hana afya ya akili wakati ametumia akili kumkamata bwege mmoja kama siyo zaidi ya mmoja[emoji23][emoji23][emoji23] Akili kubwa hiyo
  2. JUDIKAY

    JamiiForums Tanzania Naweza kununua Gari kwa mkopo wapi?

    Kuwa makini ukiwapata wanaokopesha gari Chunguza gharama zao mpaka gari litakapokuwa mali yako
  3. JUDIKAY

    JamiiForums Tanzania Natafuta partner wa biashara, Arusha

    Gharama za hiyo biashara ni kiasi gani?
  4. JUDIKAY

    JamiiForums Tanzania Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Nashukuru sana mkuu kwa huu uzi, nimepata elimu nzuri kwangu
  5. JUDIKAY

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kike anahitajika

    Kazi gani?
  6. JUDIKAY

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja kutoka ABC properties

    Nitawatafuta
  7. JUDIKAY

    JamiiForums Tanzania My artwork diary

    Hongera sana
  8. JUDIKAY

    JamiiForums Tanzania Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Naomba kujua matumizi yake
  9. JUDIKAY

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza viwanja ambavyo vimepimwa na kampuni yetu inaitwa PROPERTY INTERNATIONAL LIMITED

    Pole sana mkuu, hapo kasema squre meter 400 na wapo baadhi hawaelewi ndio maana kafafanua hivyo. Kuna watu ukiwaambia squre meter 400 haelewi ni ukubwa gani
  10. JUDIKAY

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Bajaji inauzwa kwa Ofa ya kufungia Mwaka

    Hizo picha za bajaj ulipiga lini?
  11. JUDIKAY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananieleza mambo ninayowasiliana na mchepuko

    Elisha umesha oa kaka?
  12. JUDIKAY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Awe na sifa gani?
  13. JUDIKAY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume miaka 36 natafuta mke

    Umeshampata?
  14. JUDIKAY

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

    Una uwakika?
  15. JUDIKAY

    JamiiForums Tanzania THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kufa unataka mwenyewe Kuwa unavyotaka wewe siyo anavyotaka mtu
Back
Top Bottom