Naweza kununua Gari kwa mkopo wapi?

Naweza kununua Gari kwa mkopo wapi?

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
570
Wazee habari zenu

Wapi naweza nunua gari kwa mkopo?

Nilipe milioni 4 halafu iliyobaki nalipa kila mwezi.
 
Wazee habar zenu

Wap naweza nunua gari Kwa mkopo

Nilipee milion 4 alafu iliobak nalipa kila mwezi
Hakuna Wanapouza gari kwa mkopo, wala neno gari la mkopo lisikusumbue,
.wengi wanaosema gari ya mkopo ni wale ambao hawajawahi kununua gari.

Ninachojua kuna mabenki hutoa mikopo ya fedha, weww sasa utaenda kununua gari.
 
Wazee habari zenu

Wapi naweza nunua gari kwa mkopo?

Nilipe milioni 4 halafu iliyobaki nalipa kila mwezi.
Nenda Instagram search jamaa wanajiita sclt hapo wanauza magari kwa mkopo unalipa kwa installation. Wapo Benjamin mkapa tower kwa uoande wa ofisi zao. Kila la heri

Kuna wengine nimewasahau jina nikilikumbuka nitakuja kukupatia
 
Kuwa makini ukiwapata wanaokopesha gari
Chunguza gharama zao mpaka gari litakapokuwa mali yako
 
Wazee habari zenu

Wapi naweza nunua gari kwa mkopo?

Nilipe milioni 4 halafu iliyobaki nalipa kila mwezi.
njoo tupo sinza unaweza lipia kwa mwaka mpaka miaka miwili na gar unachagua yard yetu au tunakuagizia

mahitaji
barua ya utambulisho wa kazi
nida no
bank statements
 
Ķama umeweza kupata M4 ziweke kwenye fixed account endelea kupambana zifike angalau saba ununue hata Cami yenye hali nzuri...kama umeishia hapo sio mbaya utapata starlet namba A spana mkononi ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom