INAUZWA Bajaji inauzwa kwa Ofa ya kufungia Mwaka

Manwambele

Senior Member
Jan 4, 2016
109
164
Bajaji inauzwa kwa Ofa ya kufungia Mwaka 2021, kwa wajasiriamali au watu wenye ndoto za kupata hesabu ya 20k au 15k kutegemea na mkoa uliopo hii ni kwa ajili yenu,
Bajaji ni nzima haina shida yoyote,Aina Tvs king Deluxe Mc BXH 767 Bado Ipo katika hali nzuri.
Karibuni kwa mawasiliano 0677210276

Bei 3.3 bei inapungua usisite karibuni,kwa picha zaidi ncheki Whatsap boss.
Welcome

20211230_154227.jpg
20211230_154125.jpg
20211230_154113.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bajaji inauzwa kwa Ofa ya kufungia Mwaka 2021, kwa wajasiriamali au watu wenye ndoto za kupata hesabu ya 20k au 15k kutegemea na mkoa uliopo hii ni kwa ajili yenu,
Bajaji ni nzima haina shida yoyote,Aina Tvs king Deluxe Mc BXH 767 Bado Ipo katika hali nzuri.
Karibuni kwa mawasiliano 0677210276

Bei 3.3 bei inapungua usisite karibuni,kwa picha zaidi ncheki Whatsap boss.
Welcome

View attachment 2062957View attachment 2062958View attachment 2062959

Sent using Jamii Forums mobile app
Imesajiliwa lini? Kama sikosei itakuwa mwaka 2019!? Au vipi? Toa habari zaidi tuingie sokoni tufanye biashara!
 
Yaani hii bei naiuza sio kwa ajili ya tamaa nimeamua kuuza sababu ya usumbufu wa madereva so ukinunua hakuna cha service sababu service nilishaifanyia kabisa yan hapo iko poa ni mwendo wa safari au lbda kufunga mziki 2 kwa ajili ya kujiliwaza ukila vichwa vyako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hii bei naiuza sio kwa ajili ya tamaa nimeamua kuuza sababu ya usumbufu wa madereva so ukinunua hakuna cha service sababu service nilishaifanyia kabisa yan hapo iko poa ni mwendo wa safari au lbda kufunga mziki 2 kwa ajili ya kujiliwaza ukila vichwa vyako

Sent using Jamii Forums mobile app
TRA hudaiwi,wiper inafanya kazi,starter nzima,master cylinder nzima,overhaul imefanywa mara ngapi????
 
Back
Top Bottom