Recent content by Juan junior

  1. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli afyeka 50 waliokuwa kwenye orodha ya kushiriki ziara ya Madola

    wanafiki kama wabunge wa ukawa kutoka nje ya bunge Na kwenda kufuatilia hotuba ya rais kwenye television
  2. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa UKAWA kuongea na Waandishi, baada ya kutoka Mahakamani

    Watch out your mouth
  3. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

    Kwa post yako hii kuna haja gan ya kupga kura kama raia wanakuwa washajua nani anashinda? Waelimishen watu na sio kuwachanganya.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu ambayo CHADEMA hawawezi wakayajibu

    Híi ni sample ya wanaojiita wasom wanaotaka mabadiliko ambayo hata wao hawajui yatakujaje
  5. J

    JamiiForums Tanzania Sumaye usijitutumue sana, tutakuitia Mary Nagu!

    Kipenz chako sio watanzania wote, usifikiri kila mtanzania hajitambui kama wewe. Grow up
  6. J

    JamiiForums Tanzania Membe anapotosha kifo cha Balali, Lowassa hakusema atamleta Daudi Balali

    nawaona wana ukawa mnafarijiana wenyewe, mwsho wa siku tutajua tu nan rais na taarabu zenu zitawaisha
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nimemtimua kuchota maji aliyevaa nguo ya CCM

    kwa hiyo hapo umesolve tatizo mkuu? Hujui kama katiba inamruhusu mtu kuwa huru kumchagua na kumsaport mtu yeyote? any way mkapa hakukosea kabsa kuwaita lile jina manaake leo umeudhihirisha mwenyewe ujinga na ulofa wako humu. Tena bila aibu unakuja humu majesticaly et nimemtimua na panga, shame...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni Neema kwa Wanafunzi wote vyuo vikuu! Msipuuzie!

    hakuna msomi anayejitambua ambaye atajitoa ufahamu na kumpa kura lowassa kwa sababu tu ya kusamehe deni loan body.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

    Anhaa vp mkuu umetoka kuamka nn? Leta solid arguments na sio taarabu na nashndwa kujizuia kukuita lile jina alowaita uncle benja
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

    Mpasho ee, huez kunielewa coz nshakwambia thinking is prohibited ndo maana unaona mpasho kama ile mipasho yenu ya kumrudisha balal akishnda urais
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

    Afu wanajiita wasomi, wana macho lakin hawaon, masikio lakin hawasikii, wana kichwa na ubongo bt thinking is prohibited
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

    Walouwa viwanda wengne mpo nao huko mnapga nao kelele za mabadliko. Salt vepeee grow up au ndo thinking is prohibited?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

    Jifariji tu mwayaaa, you just wait and see!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

    Kazi ipo kwa kwel el79. Pia nimegundua hapa wanaojiita wasomi pia wanapenda sana mteremko a.k.a shumbwela ndo maana n rahc kununuliwa kifikra kama ambavyo lowasa anawafanyia sasa hv.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

    lowassa anajua kabisa hapit ndo maana anaahidi vitu visivyokuwa hata na logic. Any way endeleen kujifariji na kama ni mnufaika wa loan board utarejesha tu fedha ili na mwanao pia anufaike. Polen sana mnaojiita wasomi wakati uwezo wenu kuchanganua mambo umezuiliwa na mahaba.
Back
Top Bottom