simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,699
- 9,591
Mpe ushauri siku nyengine akachote maji kwa Lukuvi.Vyovyote vile iwe Siasa au Chuki ni Marufuku. Mbunge Wilium Lukuvi yupo hapa toka miaka hiyo alafu aendelee kuwekwa na watu kama hawa.
Mpe ushauri siku nyengine akachote maji kwa Lukuvi.Vyovyote vile iwe Siasa au Chuki ni Marufuku. Mbunge Wilium Lukuvi yupo hapa toka miaka hiyo alafu aendelee kuwekwa na watu kama hawa.
hujatenda ubinaadam siasa siyo chuki.dada akiwa ccm wewe cdm pendaneni na mshindane kwa hoja chuki na kuona mwenzio hafai kupenda kile anachoamini ni ufinyu wa akili.
vijana tunafanya siasa zisizo na tija kwa taifa letu.leo wewe umemtimua kwasababu kavaa kijani kesho wewe unaweza ukatumbukia kwenye hicho kisima na wakukusaidia ni huyo jirani yako badilika.
Siasa sio ushabiki wa Simba na Yanga siasa ni maisha, na sipendi mtu anayeshabikia Siasa kama mpira, mpira hauna athari ila Siasa zina athari.
Kijijini kwangu kuna shida ya Maji toka Uhuru wagombea wanapita hawa hawa wanaopewa mashati na 5000 wanawachagua wanaondoka baada ya miaka miaka mitano tena wanarudi na ahadu ile ile.