Recent content by JT wa Dommy

  1. J

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Siri

    Mbududa shukrani sana chief. Muendelezo tafadhali kama hutajali
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada tafsiri ya hii ndoto

    Asante mkuu. Binadamu huwa tunajisahau sana haswa kwenye sala sasa narudi kwenye mstari ni Kusali kwa kwenda mbele
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada tafsiri ya hii ndoto

    Asante sana mdau. Ni kweli nilijisahau sana kwenye kusali nashukuru sasa nitarudi kwenye mstari
  4. J

    JamiiForums Tanzania Msaada tafsiri ya hii ndoto

    Habari wapendwa. Nimekuwa nikiota hizi ndoto za nyoka mfululizo nashindwa kuelewa kwanini. Juzi niliota niko kwenye nyumba imezingirwa na nyoka wa aina tofauti wengine hata sijawahi kuwaona wa ajabuajabu wapo kwenye kila chumba isipokuwa chumba tulichokuwepo sisi (nilikuwa na watu wengine kama...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mtaji Kilimo cha Umwagiliaji

    Habari wa JF. Mimi ni binti ambaye nataka niingie shambani kuanza kilimo. Msaada wenu nauhitaji kujua gharama nzima ya kulima kilimo cha umwagiliaji. Kuanzia ukodishaji shamba hadi vifaa vya umwagiliaji pia maeneo gani mazuri na zao gani zuri lenye kuleta faida na gharama za mbegu. Kwenye maeneo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya hotel au travel agency

    Mimi ni msichana nina miaka 28 Natafuta kazi Nina diploma ya air ticketing (foundation IATA) Diploma (consultancy IATA) na working experience ya 5years kwa system ya galileo pia Hotel's Front office and Receptionist experience ya 3yrs kwenye 4star hotel. Asanteni
  7. J

    JamiiForums Tanzania Riwaya: KISASI

    Dah asante sana story nzuri mno
  8. J

    JamiiForums Tanzania Riwaya: KISASI

    [emoji137][emoji137][emoji137]
  9. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Before I die

    Dah! Nzuri hiyooooo. Japo nimeota mindoto ya ajabu balaa. Shusha nyingine tena. Uweke kwa spidi kama hii maana sijaingia Insta wala FB kwa siku hizi
  10. J

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    LEGE mi niko na Latoya kwenye BEFORE I DIE, so kama ukiendelea huku tutaarifu kule maana najua wengi tupo kule
  11. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Before I die

    Wacha nimalizane na Peniela kwanza then nije huku. Nisije nikadata bure
  12. J

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Maneno ya LEGE jana yaliwaingia eenh? Leo sioni mkimwita. Ngoja mi nianze, LEGE shusha mzigooooo heheheeee
  13. J

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    LEGE una ahadi za uongo sana kwa kweli. Sasa hivi nimeona umelike comment ila mzigo hutaki kushusha
  14. J

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Nahisi hilo kanisa walimoingia ndo kuna kasha lingine la Peniela aliloambiwa na John. Na hao watu ni watu wa John
  15. J

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Pole na majukumu ila ili mi nikusamehe tuma kama kumi hivi lol
Back
Top Bottom