Recent content by Jspmsl

  1. J

    Elimu Tanzania tunasomea ujinga? Wapi waliendelea kiviwanda kwa kununua ndege badala ya kuwekeza kwenye kilimo na elimu?

    Mimi naona bila kuendeleza kilimo na miundombinu ni ndoto kuendelea. Utalii tumejaribu hatuwezi na si ndege zitaweza kunyanyua utalii, ni mambo mengi mahoteli, operators na mahala pa kufikia ndege moja au mbili haziweze. Tunatakiwa kuwa na connection kutoka mataifa mbalimbali je tunauwezo wa...
  2. J

    Serikali yakanusha taarifa kuwa wenye leseni za biashara watoto wao watanyimwa mkopo

    Jiwe ndiye mbaguzi, wachaga hataki wapate chochote anaona ndiyo wachuuzi kesho utasikia makabila yanayotoka kaskazini hakuna mikopo. Anatamani iwe hivyo si wapiga kura wake tuseme wazi tu akihisi kuna wachaga wengi anavunja mpk nyumba zao
  3. J

    Rais Magufuli usipobadilisha msimamo wako kuhusu mikopo ya wanafunzi, uchaguzi 2020 hutoboi

    Kivuluge huyo, 2020 anapeta tu nani anaamua atawale ni Wakurugenzi mjomba! nao ndio makada wa ccm, UVCCM wote, mtakoma kuringa mazwazwa bado yako mengi
  4. J

    CCM chama bora cha siasa duniani

    Mna jivunia chama cha ujanja ujanja wenzenu wanarusha satelite miccm mjinga sana. Chaguzi zenyewe za wizi wizi wa kupora haki za watu
  5. J

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Hakufungwa kwa kosa la jinai nyie lumumba muoneeni lkn haki yake apewe mahakama za ccn na polisi ccm nwisho wenu unakuja ni kuwanyonga tu majizi nyie
  6. J

    Je, ni kipi kipimo cha uvumilivu wa mgogoro katika mapenzi?

    Ni jambo gumu sana kulihimili wadada wana maringo ya ajabu wakikuona boya mwenye kujishusha. Lkn pia lazima ujue lengo la mwenza mlie korofishana. Mimi ilinichukua miaka zaidi ya mitano lkn hatimae tuliachana baada ya madai kuwa makubwa
  7. J

    Aliniudhi sana alipotaka nimpe pattern ya kufungulia simu tukiwa katikati ya gemu

    Utamu unakuja utamu unakata hisia zinapotea huku kuna mtu anahema kifuani
  8. J

    Umewahi kumsikia mwamba Dr. Matomora?

    Ni wachache wenye moyo huo abarikiwe sana, kuna wengine hata rambirambi hawatoi
  9. J

    Nimeanza kupimiwa utamu

    Ulimfanya kumkomoa ati aridhike huyo humpati tena nadhani utakuwa na umri wa miaka 20 mdanganyana sana. Tendo hilo ni kuinjoi siyo fujo
  10. J

    Kwanini wanawake pekee ndio humlilia Rais Magufuli?

    Kwa fikra zako anaongopa? Kwa hiyo serikali ya chini haifanyi kazi yake? Rais ataweza kusikiliza wenye matatizo wote acha upuuzi wako. Yule wa Tanga yuko wapi kwa hiyo walikuwa hawamjui mazwwazwa bana
  11. J

    Uchumi wa jimbo la California sasa ni mkubwa kuliko ule wa UK

    Kweli kasheshe mtu anafukuza kazi watu anabana watu, viwanda vya wachina
  12. J

    North Korea yaendelea kutimiza demand za Trump,hatimae yawaachia wamarekani waliokua kifungoni

    Amekwama utacheza na US vibomu vyako viwili? Unaweza kuwavimbia wenzako ambao wana utafiti na wanazalisha wewe ndiyo ubafanya utafiti.
  13. J

    Wabunge watoka nje ya Bunge Zungu anaendesha Bunge kibabe Lema ainuka na kusema analo jina la ofisa aliyeshiriki mauaji

    Wanauza nchi ndiyo uzeni tu ndiyooo[emoji85] [emoji85] [emoji85] , baadae tunaibiwa na hawa wazungu aaaaa ndiyoo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] , watulipie matrilioni tuliyowapa kwa mikataba fekiii ndiyooo[emoji51] [emoji51] [emoji51] mazwazwa yenye kukalia ndiyyooo tuwape ndiyo...
  14. J

    Ushauri: Mwanaume anataka kunioa lakini ana maumbile madogo

    Wewe kwenu wako wenye makubwa kubwa na wewe ukijiangalia unaumbo gani kama una harage kubwa olewa na zaeni usiwe a wasiwasi
Back
Top Bottom