Ni kwa sababu error ipo hapo tu. Na pia nilipokuwa naandika hii sikuwa na pc kabisa.
Pia kwa io issue nikiload tu kawaida video from files inaokubali na manipulation zinafanyika sas issue ni hapo.
Ninaanza kwa kuuliza,
Kama kuna mjuzi wa technology hii ya Python, basi naomba kujua namna ya kuhusisha django, library ya face-recognition na OpenCv library.
Nimefanya web app inayofanya hivyo lakn nimekwama kwenye eneo la kufanya recognition kutoka kwenye video, na sababu ni namna ya kuiload...
Sijui kama nimekosea kiswahili. Naomba kujua gharama za kudarizi kama sio kutarizi Tshirts.
Gharama na pia fundi awe Dsm hapa hapa. Nahitaji sana sana ndugu zangu.
We can if we want.
We are the nation.. They are just politicians.
Lets do what will change Tz forever and retain our status as the island of peace.
Tubadilike na kufikiri vizuri kama watu wenye uchungu na ndugu zetu, watoto wetu, taifa letu, ardhi yetu na damu zetu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.