Tanzania yetu really we are victims of our own actions, decisions and blood

cyrax

Senior Member
Mar 12, 2017
105
88
Habari zenu wana jamvi, Naandika uzi huu nikisikiliza wimbo wa LUCKY DUBE unaitwa “Victims” kisha naiangalia Tanzania yetu really we are victims of our own actions, decisions and blood.


"Victims"

Didn't know she was crying
Until now as she turns to look at me
She said boy o'boy you bring tears to my eyes
I said what, she said
Boy o'boy you bring tears to my eyes
Bob Marley said
How long shall they kill our prophets
While we stand aside and look
But little did he know that
Eventually the enemy
Will stand aside and look
While we slash and kill
Our own brothers
Knowing that already
They are the victims of the situation


She took me outside to the churchyard
Showed me graves on the ground
And she said;
There lies a man who fought for equality
There lies a boy who died in his struggle
Can all these heroes die in vain
While we slash and kill our own brothers

Naitazama Tanzania ambayo hadi sasa bado imefichwa chini ya kivuli cha jina la kisiwa cha amani duniani, taifa lenye demokrasia na usawa ingawa sivyo ilivyo ilivyo kwa sasa imebaki historia kwa watanzania wenyewe HAKUNA AMANI, HAKUNA DEMOKRASIA. Nalazimika kutazama mataifa mengine yenye sifa mbaya mbazo Tanzania tunalazimishwa kuwa nazo kama vile Sudan, Somalia, Congo Libya na mengine mengi yalikuwa kama Tanzania, kama sisi. Hali ya machafuko iliyopo kwenye nchi zao haikuja ghafla a; walizoeshwa vitisho, milio ya risasi na mabomu, kupigwa na vyombo vya ulinzi bila huruma wakajikuta wamezoea ni sehem ya maisha yao wameona hakuna kitu cha kupoteza zaidi ya uhuru na nafsi zao ambazo hata kwa wakati huo pia viongozi walizitumia kama mitaji ya ufahari na nguvu zao HII NDIYO TANZANIA SASA.

Yanayotokea Tanzania ni mojawapo ya hatua mbaya zaidi katika kufikia hali ambayo hakuna mtu atakayeweza kuvumilia kuitazama ADUI ZETU WALIKUWA NI WAKOLONI SASA NI SISI WENYEWE wale tunaowaita damu yetu sehem ya asili yetu.

Kwa haya ya sasa kuna haja ya sisi Watanzania kuangalia tuna nini cha kupoteza, nini tumepoteza, na kipi tutakipoteza. Tumepoteza amani yetu, uhuru wetu, damu za ndugu zetu na vingine vingi. Ni wakati wa mnyonge kuitetea nguvu kidogo aliyo nayo maana hata hiyo pia kuna uwezekano wa kunyang’anywa.

Siasa ni kila kitu ingawa ina uchafu ndani yake tusikae tukasema kuwa mambo haya ni ya wanasiasa tu au watakao sikiliza wanasiasa tu, Hapana! Matokeo ya siasa yanamuathiri kila mmoja ndio maana Akwilina hakuwa katika siasa ila siasa ila sasa ni muathiriwa wa siasa yeye na familia yake yote na taifa kwa ujumla.

It’s time to say NOO! Time for change, equality and democracy, ni wakati wa kutetea taifa la leo na kesho pia Tanzania ya kesho ipo kwenye mikono yetu huu ni wakati wa kuchukua maamuzi ya kuijenga au kuibomoa.
_100069499_76d3756a-0b0d-4286-8457-96a2800e8482.jpg


ASANTEENI SANA NAWASILISHA
 
We can if we want.
We are the nation.. They are just politicians.
Lets do what will change Tz forever and retain our status as the island of peace.
Tubadilike na kufikiri vizuri kama watu wenye uchungu na ndugu zetu, watoto wetu, taifa letu, ardhi yetu na damu zetu kwa ujumla
 
Kuna Uzi nimeupenda sana..Chagueni Matreni, Bombadia na flyovers au mpewe malipo ya kuuwawa! [HASHTAG]#ShitholeTz[/HASHTAG]
 
natoa wito kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu kuanzisha movement kwa ajili ya kulikomboa taifa letu kutoka mikononi mwa dikteta magufuli na muuwaji Mwigulu. kumbukeni kipi kilitokea Afrika kusini.
 
Back
Top Bottom