Face Recognition System kwa Python

Face Recognition System kwa Python

JSmart Mind

Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
22
Reaction score
14
Ninaanza kwa kuuliza,

Kama kuna mjuzi wa technology hii ya Python, basi naomba kujua namna ya kuhusisha django, library ya face-recognition na OpenCv library.

Nimefanya web app inayofanya hivyo lakn nimekwama kwenye eneo la kufanya recognition kutoka kwenye video, na sababu ni namna ya kuiload ile video kwenye Open CV.

video = request.FILES[‘video’]

cap = cv2.VideoCapture(video)

Napata error hapa kwenye mstari wa pili.

Kama kuna mtu ameshakutana na io kitu anisaidie.
 
Why you didn't provide us a full specimen (snippet)?
 
Why you didn't provide us a full specimen (snippet)?

Ni kwa sababu error ipo hapo tu. Na pia nilipokuwa naandika hii sikuwa na pc kabisa.

Pia kwa io issue nikiload tu kawaida video from files inaokubali na manipulation zinafanyika sas issue ni hapo.
 
Ni kwa sababu error ipo hapo tu. Na pia nilipokuwa naandika hii sikuwa na pc kabisa.

Pia kwa io issue nikiload tu kawaida video from files inaokubali na manipulation zinafanyika sas issue ni hapo.
Kwa mtindo huu utakesha, kazi kwako.
 
Back
Top Bottom