hata kama sio 16,waweza anza na kitongoji chako,kweli kabisa mkuu,juzi ilala bungoni masjd taqwa,ililetwa maiti kuoshwa ilifia nyumbani,watu afya wakapata taarifa wakaja kuuchukua ktk video utaona maiti ipo kwenye mkeka,na wasindikizaji wapo.lkn angalia wanachoamini watu.kwamba watu wanasali mtu...