Hapana mkuu ni miongoni mwa ushauri niliopokea kutoka kwa wadau mbalimbali kwa usalama wa pande zote mbili,utanisamee kama sijatenda vyema kwenye hili.
HABARI WAKUU,NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWASHURU KWA SUPPORT YENU ILA NAWAJULISHA YA KWAMBA MWENYE SIMU AMEPATIKANA NA TUMEMKABIDHI KWENYE VYOMBO VYA SHERIA KITUO CHA PANGANI ILALA.
"Wanajiamini nini hawa viumbe??????
Huo mstari ume triger mazingira ambayo imepitia miaka 2 nyuma kwa mwanamke aliyeniuzia msala nikalea mimba mpaka mtoto kwa miezi kadhaa mpaka nilipokuja kugundua mtoto sio wangu na kuamua ku move on bila hata ya kumpiga singi tu yani kwa amani,huwezi amini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.