Recent content by JPM605

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA

    Halafu kwanini chamber summons ziko mbili mkuu?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya kifupisho cha 'ndc' mbele ya jina la Nenelwa J. Mwihambi Katibu wa Bunge

    Wakuu nawasilimuni, Nimebaini kwamba baada ya jina la Katibu wa Bunge wa sasa Mh. Nenelwa J. Mwihambi kumekuwa na kifupisho cha 'ndc'. Napenda kufahamu nini maana ya kifupisho hicho? Shukrani!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Big shame to those who made Magufuli believe he was immortal

    JENERALI kinachomkera ni namna watu walivyomiminika kumlilia JPM, alitegemea watu wasimzike vizuri shujaa wao. Eti JPM alijiona IMMORTAL yaani mwenye kuweza kuishi milele, matusi mabaya hayo JENERALI. Ungemtendea haki JPM ungetafuta hata hotuba zake uka'quote' kama kweli alijimwamba kiasi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mkapa alikuwa sahihi: Utumishi wa Umma hauna shukrani

    Mkuu huyo baba wa hapo kazini kwenu si inawezekana michango yake labda haijaenda yote kwenye mfuko, au hata labda kuna issue ma'document'. Jiwe docs zote ziko fresh ingebidi iwe chap tu. Halafu hayo mambo ya fao la kujitoa si mambo ya kisheria tu mkuu na as long as bado tunaishi mabadiliko ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mkapa alikuwa sahihi: Utumishi wa Umma hauna shukrani

    Aaah wapi wakati hata stahiki zake bado hazijalipwa na sasa ni takiribani mwezi wa pili, kuna wema hapo mkuu?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mkapa alikuwa sahihi: Utumishi wa Umma hauna shukrani

    Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri. Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nimeota ninakunywa bia, ila mimi sinywi bia. Nini maana yake?

    Ndoto hiyo umeota kwa sababu kichwani mwako na mawazoni mwako unaichukia sana pombe kiasi cha kwamba hupati picha itawezekanaje itokee unywe pombe haswa ukizingatia ladha yake mbaya labda na athari zake. Kwa hiyo mawazo hayo ya namna unavyochukia ndo yamekuja usiku kama ndoto ya mtindo huo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Sehemu ambazo CAG haruhusiwi kusogelea: ATCL na Wakala wa Barabara - TANROADS. Unajua kwa nini?

    Mkuu ATCL huwa inakaguliwa. Pamoja na mambo mengine aliyoyabaini katika ukaguzi huu ni kwamba hasara ndani ya shirika hilo inapungua.
  9. J

    JamiiForums Tanzania JK receives chq worth $200,000 or $300,000?

    In case of dispute between amount in words and numbers, the amount in words prevails.
  10. J

    JamiiForums Tanzania 'Single mothers' wenye pesa wanaharibu mabinti zao kisaikolojia

    Imekuwepo tabia ya single mothers kuwalea mabinti zao kwa namna ambayo wao wanadhani ni sahihi wakati sio. Kina mama hao huwalea watoto kwa kuwadekekeza kupita kiasi, kuwapa maisha ya anasa nyingi na kuwajengea mitizamo hasi kuhusu wanaume, mahusiano na maisha ya jumla. Utakuta single mother...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, chuo cha DUCE mlikosea sana!

    Nimekuwa mwanafunzi DUCE hadi 2015, vyoo ni shida. Kuna siku utakuta vyoo vyote vimeziba mzigo uko juu. Contractor wa hilo jengo la vioo ndo kaniacha hoi, sijui aliwaza nini kuweka vyoo vya kukalia. Ajabu hata jengo jipya kabisa (TPC) lina vyoo vya kukalia na vya kawaida kwa mgawanyo kama nusu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi yaalika waangalizi uchaguzi mdogo wa ubunge Monduli, Korogwe na Ukonga.

    Waangalizi wa uchaguzi hualikwa kwenye chaguzi zote. Hii sio mara ya kwanza kutoa mwaliko kama huo. Uchaguzi uliopita waangalizi walialikwa wakaomba rasmi wakaenda. Marekani hakuomba kuwa mwakilisha ila baadae akatoa maoni yake, hapo ndipo ikamvaa kumhoji mbona hukuwa mwangalizi umeyapataje hayo.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Star times nao wamezima local channels, sijui nini kinaendelea

    Na'refresh' vp?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Star times nao wamezima local channels, sijui nini kinaendelea

    Kuanzia saa 1 leo, ITV, CLOUDS, STAR TV, EATV na Channel 10 hazipo kwenye king'amuzi cha star times. Sijajua kama nao wameungana na ndugu zao kuondoa locals au labda wamepewa maelekezo.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Msaafu, Fredrick Sumaye kuongea na waandishi wa habari kesho

    Yajayo yanafurahisha.
Back
Top Bottom