Kwa hili, chuo cha DUCE mlikosea sana!

Kwa hili, chuo cha DUCE mlikosea sana!

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
3,030
Reaction score
4,651
wakuu!!

Nilipata bahati ya kwenda chuo cha Ualimu DUCE (pale karibu na uwanja wa Taifa) kwa lengo la kuonana na uongozi wa chuo kuandaa project yetu moja inayohusu Environmental Protection and Cleanness, kwa Taasisi za elimu ya juu ambapo nilichagua kutumia Vyuo vikuu vitatu (DUCE, ARDHI na Mlimani).

Nilipofika hapo DUCE, nilianza kuzungukia maeneo yao mule ndani kujiridhisha na Prior-Information za usafi na utunzaji wa mazingira wa hapo chuo. Kiukweli to some extent chuo kile kinajitahidi sana kwenye masuala ya usafi wa mazingira yao ila tatizo lilikuwa sehemu moja tu (tena nyeti Sana) nalo ni tatizo la vyoo na chambers zake.

Kiukweli vyoo vya pale DUCE bado haviridhishi kwani vinahatarisha hata afya za wanafunzi na wengine wanaovitumia bahati mbaya zaidi wanao athirika zaidi ni upande wa wanafunzi.

Zile chemba za Vyoo vya DUCE zina hali mbaya, hasa zile zilizopo jirani na Cafeterias (zinatoa harufu nzito sana na zimejaa) jambo ambalo ni kero kwa Wanafunzi wanaopendelea kukaa jirani na maeneo hayo kujisomea na kupata chakula.

Lakini, kubwa zaidi ni vyoo vyao hasa vilivyoko kwenye Lile Jengo lao lenye vioo (nimeuliza nimeambiwa linaitwa New Lecture Hall) aisee nimekuta vyoo vya kukaa badala ya kuchuchumaa kitu ambacho ni hatari kwa matumizi ya ya wanafunzi zaidi ya 8000. Si hivyo tu, Bali pia vyoo vile ni vichafu na havistahili kutumiwa na University students.

Kwa mtindo ule wa vyoo vya kukaa pale duce sijui wahusika (viongozi) walifikiria nini kwani inajulikana kuwa vyoo vya kukaa havifai kuweka ama kutumiwa sehemu yenye watu wengi kama ile ya chuo.

Kiukweli Wahusika Wa DUCE, naomba mchukuwe hatua za haraka kufanya marekebisho ya toilet systems zenu. Na vile vyoo vya kukaa kule kwenye jengo La vioo mhakikishe mnavitoa na kuweka vya kuchuchumaa ili kuepusha mlipuko wa magonjwa ya kuambukizana kwa wanafunzi. Ni aibu kwa chuo kikubwa kama chenu kuwa hivyo japo kwenye report yangu sijawaandika vibaya but sikutegemea nilichokishuhudia, badilikeni!!

Nitafurahi iwapo nitarudi wakati mwingine na kukuta improvements. Ahsanteni!!!

NB: Mlimani wapo vizuri Ila Ardhi wana matatizo yanayofanana na Yale nilliyo yakuta DUCE.
 
Nimekuwa mwanafunzi DUCE hadi 2015, vyoo ni shida. Kuna siku utakuta vyoo vyote vimeziba mzigo uko juu. Contractor wa hilo jengo la vioo ndo kaniacha hoi, sijui aliwaza nini kuweka vyoo vya kukalia. Ajabu hata jengo jipya kabisa (TPC) lina vyoo vya kukalia na vya kawaida kwa mgawanyo kama nusu kwa nusu. Sasa unajiuliza vya kukalia kwa ajili ya nini unaishia kukasirika.
 
Yaani!? Hilo nalo umeliona kama jambo la kutumia taaluma uliyoisotea hapo DUCE! 'Uchafu wa vyoo!
Labda ungesema kwenye hivyo vyoo umegundua viumbe adimu, kama wale vyura wa Kihansi waliotaka kusimamisha mitambo ya kuzalisha umeme!
Haya ni mambo ya 'jikoni' ni aibu zaidi kwako wewe kuyaleta hapa kama vile umegundua mlima Kilimanjaro!
 
Na hiyo ni taasisi ya inayoandaa nguvukazi inayokwenda kuelimisha jamii ya watanzania, na ndipo alipotokea VC wa UDSM wa sasa, je hali ipoje kwenye taasisi zingine? Chombo gani kimelala katika kutekeleza majukumu yake? Je na hapo ni lazima amri itoke kwa Rais ndipo usafi ufanyike? Mkuu ulipaswa kuweka picha ya hali halisi ili mamlaka zijipime kama zinatosha au laa!
 
Hili ndilo limenifikirisha zaidi mkuu...seriously! Vyoo vya kukalia???
 
Nimekuwa mwanafunzi DUCE hadi 2015, vyoo ni shida. Kuna siku utakuta vyoo vyote vimeziba mzigo uko juu.

Shida hii ipo kwa taasisi nyingi za elimu, kumbuka Rais alipokwenda ziarani Morogoro alitoa fedha mfukoni kujenga choo cha shule lakini kuna viongozi lukuki hawakuona umuhimu wa kutazama vyoo mashuleni.

Contractor wa hilo jengo la vioo ndo kaniacha hoi, sijui aliwaza nini kuweka vyoo vya kukalia. Ajabu hata jengo jipya kabisa (TPC) lina vyoo vya kukalia na vya kawaida kwa mgawanyo kama nusu kwa nusu. Sasa unajiuliza vya kukalia kwa ajili ya nini unaishia kukasirika.

Vyuo vya elimu ya juu huchukuliwa kama ni sehemu walipo wasomi wenye kujitambua na kwamba wanaweza kuheshimu matumizi ya vitu vilivyopo, shida yetu watanzania ni kukosa exposure nadhani pia ustaarabu haupo, fikiria vyoo vya vyuo vikuu vya baadhi ya jirani zetu kama Kenya na Rwanda, matumizi ya vyoo siyo jambo la kujadiliana, ni wajibu wa kila mdau kama kupiga mswaki vile.
 
Yaani!? Hilo nalo umeliona kama jambo la kutumia taaluma uliyoisotea hapo DUCE! 'Uchafu wa vyoo!
Labda ungesema kwenye hivyo vyoo umegundua viumbe adimu, kama wale vyura wa Kihansi waliotaka kusimamisha mitambo ya kuzalisha umeme!
Haya ni mambo ya 'jikoni' ni aibu zaidi kwako wewe kuyaleta hapa kama vile umegundua mlima Kilimanjaro!
Akili zikikukaa sawa utarudi tena kuusoma Uzi na kuuelewa ila kwa sasa pumzika!
 
Na hiyo ni taasisi ya inayoandaa nguvukazi inayokwenda kuelimisha jamii ya watanzania, na ndipo alipotokea VC wa UDSM wa sasa, je hali ipoje kwenye taasisi zingine? Chombo gani kimelala katika kutekeleza majukumu yake? Je na hapo ni lazima amri itoke kwa Rais ndipo usafi ufanyike? Mkuu ulipaswa kuweka picha ya hali halisi ili mamlaka zijipime kama zinatosha au laa!
Yaap! Nimeambiwa VC wa UDSM alikuwa principal hapo DUCE but inaonesha tangu alipokuwepo hakukuwa na strategies za kufanya mazingira yanakuwa na hadhi ya chuo kikuu!...suala LA vyoo vya kukaa kwa Crowd ya watu ilikuwa akili za vichaa
 
Nimekuwa mwanafunzi DUCE hadi 2015, vyoo ni shida. Kuna siku utakuta vyoo vyote vimeziba mzigo uko juu. Contractor wa hilo jengo la vioo ndo kaniacha hoi, sijui aliwaza nini kuweka vyoo vya kukalia. Ajabu hata jengo jipya kabisa (TPC) lina vyoo vya kukalia na vya kawaida kwa mgawanyo kama nusu kwa nusu. Sasa unajiuliza vya kukalia kwa ajili ya nini unaishia kukasirika.
vyoo vya kukaa ni muhimu, chuo kuna walemavu ambao hawawezi kutumia vyoo vya kuchuchumaa, siku ukivunjika mkuu utaujua umuhimu wa hivyo vyoo.
 
Sema ulitaka kuripoti swala vyoo DUCE.

Ungekuwa umefanya research kweli usingesema UDSM kuko vizuri. Pale ni worse.
 
Uliwapa mrejesho uongozi wa chuo ya kile ulichokiona pamoja na ushauri? Isijekuwa uliwasifia kila kitu kipo sawa halafu huku unakuja kuwananga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu!!

Nilipata bahati ya kwenda chuo cha Ualimu DUCE (pale karibu na uwanja wa Taifa) kwa lengo la kuonana na uongozi wa chuo kuandaa project yetu moja inayohusu Environmental Protection and Cleanness, kwa Taasisi za elimu ya juu ambapo nilichagua kutumia Vyuo vikuu vitatu (DUCE, ARDHI na Mlimani).

Nilipofika hapo DUCE, nilianza kuzungukia maeneo yao mule ndani kujiridhisha na Prior-Information za usafi na utunzaji wa mazingira wa hapo chuo. Kiukweli to some extent chuo kile kinajitahidi sana kwenye masuala ya usafi wa mazingira yao ila tatizo lilikuwa sehemu moja tu (tena nyeti Sana) nalo ni tatizo la vyoo na chambers zake.

Kiukweli vyoo vya pale DUCE bado haviridhishi kwani vinahatarisha hata afya za wanafunzi na wengine wanaovitumia bahati mbaya zaidi wanao athirika zaidi ni upande wa wanafunzi.

Zile chemba za Vyoo vya DUCE zina hali mbaya, hasa zile zilizopo jirani na Cafeterias (zinatoa harufu nzito sana na zimejaa) jambo ambalo ni kero kwa Wanafunzi wanaopendelea kukaa jirani na maeneo hayo kujisomea na kupata chakula.

Lakini, kubwa zaidi ni vyoo vyao hasa vilivyoko kwenye Lile Jengo lao lenye vioo (nimeuliza nimeambiwa linaitwa New Lecture Hall) aisee nimekuta vyoo vya kukaa badala ya kuchuchumaa kitu ambacho ni hatari kwa matumizi ya ya wanafunzi zaidi ya 8000. Si hivyo tu, Bali pia vyoo vile ni vichafu na havistahili kutumiwa na University students.

Kwa mtindo ule wa vyoo vya kukaa pale duce sijui wahusika (viongozi) walifikiria nini kwani inajulikana kuwa vyoo vya kukaa havifai kuweka ama kutumiwa sehemu yenye watu wengi kama ile ya chuo.

Kiukweli Wahusika Wa DUCE, naomba mchukuwe hatua za haraka kufanya marekebisho ya toilet systems zenu. Na vile vyoo vya kukaa kule kwenye jengo La vioo mhakikishe mnavitoa na kuweka vya kuchuchumaa ili kuepusha mlipuko wa magonjwa ya kuambukizana kwa wanafunzi. Ni aibu kwa chuo kikubwa kama chenu kuwa hivyo japo kwenye report yangu sijawaandika vibaya but sikutegemea nilichokishuhudia, badilikeni!!

Nitafurahi iwapo nitarudi wakati mwingine na kukuta improvements. Ahsanteni!!!

NB: Mlimani wapo vizuri Ila Ardhi wana matatizo yanayofanana na Yale nilliyo yakuta DUCE.
Ulipaswa uuone uongozi na kuwaeleza jambo hili,then km wangekupuuza ndio ungekuja kuwaanika hapa jf otherwise huu ni umbea...
 
Ulipaswa uuone uongozi na kuwaeleza jambo hili,then km wangekupuuza ndio ungekuja kuwaanika hapa jf otherwise wewe ni mbea...
Kama kuna kitu kinachoitwa umbea kwenye mambo yanayojenga na si kubomoa, huwezi kuwa hujalewa!
 
Hapo kajaribu kubalance tuu ..coz sehemu kama hizo Kuna watu Wana matatizo ya nyonga au uti wa mgongo wanashindwa kuchuchumaa

Back
Top Bottom