Recent content by jpht

  1. jpht

    Asante Profesa Ndalichako kwa majibu yako kwa Erick Shigongo

    Hivi tangu usome quadratic equation na log umesha apply kwenye kazi au maisha? Nimejifunza hvi vitu ila sijaa apply kwenye life mpk leo
  2. jpht

    Hakimu ,mawakili wa serikali Mbaroni kwa uhujumu uchumi Arusha

    Nadhani hujaelewa kwanini hakimu yumo. Fuatilia vizuri utaelewa
  3. jpht

    Somo kwa wanawake: Jinsi ya kumchuna mwanaume

    Inaelekea una uzoefu sana Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. jpht

    Lissu anaivuruga CCM hadi wananena kwa Lugha

    Hakuna lolote Kelele tu anapiga Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. jpht

    Mamlaka ya hali ya hewa(TMA) tuambieni nini kinaendelea mvua hakuna

    Arudi Hospitalini. Sio mtu unaambiwa yuko Hospital alafu unamuona Mareka au German. Kwanza akijia ndio haitanyesha kabisa. Aendelee na ziara zake huko Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. jpht

    Maalim Seif Sharif Hamad atangaza kuihama CUF na kujiunga na ACT-Wazalendo

    Hapo kwangu sijaona: Makelele tu na kuongea kwa nguvu jukwaani ila point zitakuwa chache. Binafsi siwafagilii kwani sijaona jipya kwao zaidi ya makelele Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. jpht

    Natafuta mpenzi aliyeko serious na mahusiano na mkazi wa Arusha.

    Wengine kazi tunazo tayari Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. jpht

    Natafuta mpenzi aliyeko serious na mahusiano na mkazi wa Arusha.

    Me Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. jpht

    TUJADILI: Hukumu kwa waliochoma Kituo cha Polisi Bunju A

    Huyo mtoto ana miaka mingapi? Na sheria inamtambua kama minor au major? Na wakati wa tukio alikuwa na umri gani: Pia tujiulize tukio la kuchoma kituo cha police je linakubalika au tunawatetea tu? Kama ni kweli walifanya kitendo hicho tuacheni sheria ichukue mkondo wake.
  10. jpht

    Baadhi ya wanadiaspora Marekani wapingana na Mhe Tundu Lissu katika majadiliano hadharani

    Unajua wakati mwingine inabidi tufikirie hatua moja mbele. Mtu anakuambia hatarudi mpk daktari wake amruhusu. Ila hayuko Hospital .yupo ziara za kisiasa. Unaposema uchunguzi huru unamaanisha waje watu wa nje wachumguze.mbona mauani ya Kibiti hamkusema hilo.au mauaji ya watu wenye ulemavu wa...
  11. jpht

    ONYO kwa wanaonunua simu humu

    Nauza iphone 6 Plus 64 GB TZS 700,000 nakupa na risiti Kuna nafasi ya kujadiliana. 0769077383 Haina tatizo lolote.
  12. jpht

    Lissu: Makinikia yameshaondoka, Hatujalipwa kitu, Acacia bado wanasafirisha dhahabu, Bombardier siyo mpya, Dreamliner haina kibali cha kuruka nje

    Kila kitu “nimeambiwa nimeambiwa..........” unaaminije kuambiwa mtu professional kama wewe??? Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
  13. jpht

    Dodoma: Rais Magufuli aagiza kuchunguzwa kwa Airtel kama ni mali ya TTCL! Wapotoshaji wa Takwimu wachukuliwe hatua kali

    Tunapitoa maoni pia tunatakiwa tuelewe majukumu ya Rais:tusiongee tu kwa hisia zetu na pia tuache mihemko ya kisiasa. Wanadamu hawana jema: Mtu akisafiri utawasikia mara ohh anaharibu pesa: Akikaa ndani utawasikia ohhh anaogopa. Asipoenda kutembelea wananchi utasikia ohhh anakaa tu: Akienda...
  14. jpht

    Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    Naomba kuuliza Katika ngazi za siasa aliyeghushi cheti ni mmoja tu?? Kama jibu ni hapana Mbona wengine hatuwataji: Pia mimi ningeshauri mwenye ushahidi kamili apeleke mahakamani Kuongelea kwenye mitandao na majukwaani ni dalili ya woga: Chombo pekee cha kumtia mtu hatiani au kumsafisha kuwa...
Back
Top Bottom