Maalim Seif Sharif Hamad atangaza kuihama CUF na kujiunga na ACT-Wazalendo

Membe anaenda
ACT ili kuidhohofisha Nguvu CDM.
kwa ahadi kuwa 2025 Atasimama yeye
kumbuka yeye bado ananafasi ya kuwepo miaka 6 mbele tofauti na Lowassa.

Kuna wabunge na baadhi ya wenyeviti wa mikoa wa CDM
Wataondoka chamani kuanzia mwezi wa 6 Mwaka Huu mpaka mwezi wa 8/2020
Hawa ndiyo watateuliwa kuwa wagombea kupitia ACT na ambao watajifanya ku choropoka na Membe CCM nao watasimamishwa tena .

baada ya Ngwe ya 2025 Kati Kati,Yale masalia yatafanya UHUNI Kama walivyofanya Ngwe ya 2015/2020

mpaka kufikia 2025 UPINZANI UTAKUWA UMEKUFA RASMI
NA NCHI ITAGEUZWA KAMA CHINA.
KATIBA ITABADILISHWA Na FIGISU ITAIBUKA NDANI YA CHAMA,
MPAKA Yule mamaluki Atakayepelekwa ACT atakosa Power
na kusimika UTAWALA WA JIWE RASMI

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona unafanana na AIR HOSTEJI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiitwa GASHO wa Lumumba utakataa

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kejeli za kipuuzi

Ni wazi kuwa chadema walichochea saana mgogoro wa Cuf na walikuwa upande wa Cuf Lipumba.
Na bifu la Chadema na Lipumba lilianza 2015 alivyoigomea agenda ya Chadema kumfanya Lowassa mgombea Urais kupitia Ukawa.
Bila Chadema mgorogoro wa Cuf usingekuwa mkuubwaaa.
Na Ccm nao walikuwa wanamshabikia best yao Lipumba. Na interest yao ingekuwa ndogo saaana kama Chadema wasingeshadadia kwa Maalim.

Sasa Salum Mwalimu, boss wa Chadema, alikuwa anafanya nini pale?? Hao ndio walikuwa wenye kesi.

Jukwaa hili huharibiwa na watu kama wewe..mihemuko miingi ya kulambwalambwa baada ya propaganda za Ufipa.
 
Watch my word,Zanzibar Seif bara Lissu hii ngoma hata ukishinda lazima ulale na viatu.
Jukwaaa moja kasimama Mbowe,Seif,Zitto,Lissu,Sugu,Lema,Heche,Mdee nk Watanzania tutajua Mengi nguma ya Pazia

Hapo kwangu sijaona:
Makelele tu na kuongea kwa nguvu jukwaani ila point zitakuwa chache.
Binafsi siwafagilii kwani sijaona jipya kwao zaidi ya makelele


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom