Recent content by jozzeva

 1. jozzeva

  TANZIA Mwanamuziki mkongwe Said Mabera afariki dunia

  Apumzike kwa Amani Said Mabela.
 2. jozzeva

  Dawa ya kuondoa mvi kichwani

  Mi nshajizoelea kitambo,Ukinikuta nimeziachia nywele alafu nimepiga miwani ya macho unaweza sema Doctor Sempindu.
 3. jozzeva

  Kijana mtanzania ashinda tuzo ya mjasiliamali mdogo zaidi Afrika

  Hongera kwake, nyota njema huonekana alfajiri.
 4. jozzeva

  Mwanajeshi mstaafu wa Uingereza kafia mtaani- kumbe kwetu afadhali

  Dah kweli Mkuu nimepotea sana sema niko poa tu,Mishe tu zimezidi sema tuko Pamoja.
 5. jozzeva

  Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

  Kwa mfano Mkuu Wachaga ni Watu wazuri kwenye Pesa?Mangi labda umuwachie Mavi nayo pia atayafanya Mbolea.
 6. jozzeva

  Kakamega: Man breaks into bank, poops in the banking hall

  Jamaa kaona bora akate Gogo kuliko kuchukua Pesa.
 7. jozzeva

  Tanzia: MwanaJF Gottee afariki dunia akiwa hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

  Hakuna atakayebaki juu ya Dunia,Apumzike kwa Amani Brother Gottee.
 8. jozzeva

  Msaada: Nguruwe wanakataa kula chakula

  Mi najuwa Nguruwe anakula mpaka Mavi,Sasa kama msosi kaushindwa nguruwe basi utakuwa ndaza.
 9. jozzeva

  Kenya confirms first case of Corona Virus

  Mafua na Homa si Magonjwa hatari kwa Mtu Mweusi.
 10. jozzeva

  Msamvu Morogoro

  Pamoja sana Mji kasoro Bahari.
 11. jozzeva

  Baada ya Alikiba sasa ni Nandy alalamika kushushiwa views Youtube

  Watu wangine bwana wao wanajuwa Views You tube unaweza ukaongeza au kupunguza kama sauti ya Redio.
 12. jozzeva

  Ubishani! Kati ya Tanasha/Kenya na Muncy /Tanzania nani mzuri

  Weka picha wametoka kuamka au wanapiga Mihayo.
Top Bottom