Daaa unenikumbusha mbali sana kwani nilisoma hapo Lyamungo kati ya mwaka 1991-1994 nilikuwa na kaa bweni la Amri Abeid na uongozi wa wanafunzi wakati huo ulikuwa wa kinyama sana ukiongozwa na kiranje wa ulinzi Machupa alikuwa katili sana tulikuwa tunapigwa kwa waya za umeme wee acha tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.