Recent content by Jovic Jovic

  1. Jovic Jovic

    JamiiForums Tanzania Nimsaidiaje huyu best yangu anayefilisiwa na Forex?

    Huyu wa vitabu ameshamuona mwenzake ni fursa...
  2. Jovic Jovic

    JamiiForums Tanzania Chagua CHADEMA upate Demokrasia na maendeleo Mtaani kwako

    Kuwapigia kura Chadema ni sawa sawa na kutumbukiza mkate chooni... Baada ya Mwaka unasikia amejiuzulu uanachama na kuhamia CCM kuunga mkono juhudi... Ni bora kuwapigia CCM kabisa
  3. Jovic Jovic

    JamiiForums Tanzania Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Wao ndio wameeneza huu uvumi kwa kasi wakawazoa wale wasiofikiria ya kuambiwa.. chanzo ni wao
  4. Jovic Jovic

    JamiiForums Tanzania Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Suala la kudhani halipo, fuatilia uje na majibu sahihi
  5. Jovic Jovic

    JamiiForums Tanzania Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Si dhambi kupishana mawazo... Kwa walichokifanya wajati huu ndio kupishana mawazo kwenyewe? Mti anazusha na kufurahia Rais amekufa ndio wakumpa uongozi? Huoni akili za huyo mtu kuwa hazipo sawa?
  6. Jovic Jovic

    JamiiForums Tanzania Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Kwa ujinga waliouonyesha kwenye mitandao kuhusu taarifa za uzushi za hali/afya Rais ni wazi kuwa Chadema hawastahili hata uenyekiti wa mtaa... Tuendelee kuchapa kazi... Uzi Tayari Jovic Jovic
  7. Jovic Jovic

    JamiiForums Tanzania Watanzania milioni 19.9 wajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wamejitahidi sana
  8. Jovic Jovic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu njia watumiazo wanawake waliosonga umri kuwapata wachumba kanisani

    Kuna mmoja alinihadithia alivyompata mume wake kanisani... dah! Hawa watu wakikuamulia huchomoki...
  9. Jovic Jovic

    JamiiForums Tanzania Serikali yashinda rufaa, Wakurugenzi kuendelea kusimamia chaguzi

    Nashauri sio upinzani wajitoe tu bali wafute vyama kabisa... Maana haiwezekani msusie uchaguzi halafu waendelee kupata ruzuku...
  10. Jovic Jovic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, wewe huwa unavutiwa na nini?

    🤣🤣🤣 Tuishie hapa kwa leo mkuu
  11. Jovic Jovic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, wewe huwa unavutiwa na nini?

    0713?
  12. Jovic Jovic

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye 2025 ni kanda ya kati Dodoma

    Ni uhaini unaofanya
  13. Jovic Jovic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amempa mwanetu jina la ex-Boyfriend wake

    Pole mkuu... Unasaidiwa hapo
  14. Jovic Jovic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amempa mwanetu jina la ex-Boyfriend wake

    Sentensi nzito sana hii
Back
Top Bottom