Fahamu njia watumiazo wanawake waliosonga umri kuwapata wachumba kanisani

Habari JF mapenzi.

Wadada wengi waliosonga umri hupenda kutafuta attention kwenye mikusanyiko ikiwa ni pamoja na kanisani ili waonwe na wakaka au wababa wasioa. Njia hizi ni:

1. Kuchelewa kwenda kutoa sadaka, anaenda mwishoni huku watu wote wamemaliza ili kila mtu amwone.

2. Kuchelewa kushiriki Ekaristi takakatifu kwa wale wa Rc kwa minajili ileile anakuwa wa mwisho kabisa, akichelewa kidogo anaweza kukuta padri au sister anajiandaa kurudisha ekaristi iliyobaki.

3. Kuvaa nadhifu kabisa kama binti wa heshima na ikiwezekana nguo zibane mwili kama kaumbika, kama hajaumbika atavaa kadri ya mwili wake.

4. Amalizapo kutoa sadaka au kula ekaristi huja pole pole ktk kiti chake kwa mwendo wa madaha huku akiangaza macho kwa watu wa pande zote kanisani.

5. Huvaa miwani japo sio wote kuimarisha muonekano.

6. Humsalimia kila aliye jirani yake kanisani kwa sauti ya chini haswa vijana wa kiume kama ibada haijaanza

7. Aghalabu/Mara nyingi viatu vyao hutoa mshindo au kelele atembeapo.

8.Endelea.........
Rubbish!!
 
Hongera kwa utafiti,wanawake watundu sana,hapo kwenye namba 4 utakuta kwa nyuma ile nguo ina kamkato flani hivi,halafu utakuta kama vile anajaribu kuzuia nguo isipande kumbe ni fix zao...
 
Habari JF mapenzi.

Wadada wengi waliosonga umri hupenda kutafuta attention kwenye mikusanyiko ikiwa ni pamoja na kanisani ili waonwe na wakaka au wababa wasioa. Njia hizi ni:

1. Kuchelewa kwenda kutoa sadaka, anaenda mwishoni huku watu wote wamemaliza ili kila mtu amwone.

2. Kuchelewa kushiriki Ekaristi takakatifu kwa wale wa Rc kwa minajili ileile anakuwa wa mwisho kabisa, akichelewa kidogo anaweza kukuta padri au sister anajiandaa kurudisha ekaristi iliyobaki.

3. Kuvaa nadhifu kabisa kama binti wa heshima na ikiwezekana nguo zibane mwili kama kaumbika, kama hajaumbika atavaa kadri ya mwili wake.

4. Amalizapo kutoa sadaka au kula ekaristi huja pole pole ktk kiti chake kwa mwendo wa madaha huku akiangaza macho kwa watu wa pande zote kanisani.

5. Huvaa miwani japo sio wote kuimarisha muonekano.

6. Humsalimia kila aliye jirani yake kanisani kwa sauti ya chini haswa vijana wa kiume kama ibada haijaanza

7. Aghalabu/Mara nyingi viatu vyao hutoa mshindo au kelele atembeapo.

8.Endelea.........
Wanaingiaga misa ya ngapi mkuu na mimi nikajalibu bahati yangu
 
Back
Top Bottom