Zingine ni Kwiro secondary (Ifakara), Matogoro TTC (Songea), Kigonsesa secondary (Songea), Ngaza Secondary (Mwanza), Nsumba Secondary (Mwanza), Tosamaganga, Kigurunyembe TTC, na shule nyingi sana za msingi. Wakatoliki wakiamua kudai shule na vyuo vyao, serikali haitabaki na kitu zaidi ya shule...