Mateso makubwa kwa wana shinyanga vijijini ,hakuna hata Huduma ya maji kwenye zahanati achilia mbali madawa na vifaa vingine vya tiba ikiwemo vipimo,usione hivyo tu,wilaya Hiyo haina hata hospitali ya wilaya,Huku mbunge mwarabu akijidai kuwaletea maendeleo wasukuma aw vijijini shy.tunasikia CDMA...