Recent content by Joto Balaa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya hizi tuhuma za Wafanyabiashara wa Hotel ni nzito kwako, huu sio uongozi!

    @Mlima Simba ni hii barabara ya Songea-Tunduru kupitia Namtumbo-Mchomolo-Kilimasera-Huria na matemanga?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Akiitwa mshamba, mnachekelea. Wao wakiitwa wapumbavu, mnanuna

    Hivi upumbavu wao umeanza lini! Fahamu kuwa kama ni wapumbavu kwa asili, ni dhahiri wameratibu upumbavu muda mrefu sana na huenda wametuachia mengi ya kipumbavu. Na kwa upumbavu huo; Upumbavu hautakoma maana kwa desturi upumbavu nayo ni sifa kama urefu na ufupi. "JKN".
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mbali nimeanza kuuelewa ulinzi mkali wa Rais...

    @Mzee Mwanakijiji, mbali na Ulinzi; hiki chama chetu kilikuwa na utaratibu mzuri wa kumpata "candidate" . Obviously ndiye at most akikuwa raia namba moja. Indeed. Zile sifa hazikuwa connected na ulinzi kabisa. Tunakwama wapi?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Barua ya majibu ya Msekwa kuwajibu Kinana na Makamba hii hapa

    Sema haina saini. Sio "sahihi'
  5. J

    JamiiForums Tanzania CCM imepoteza nafasi ya kujisafisha, sasa wataona ngondo!

    Ritz uko wapi siku hizi
  6. J

    JamiiForums Tanzania Huenda Yule ' Chatu ' anayefugwa Kisiwa cha Jirani na Gymkhana na Mikadi akawa tayari ameshajipatia Kitoweo chake

    "Gamba la Nyoka" utunzi wa E. Kezirahabi. Kitabu kizuri sana kile. Nilikisoma zamani sana mkuu na sikubahatika kukiweka kwenye maktaba yangu. Unakijua?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mpishi (Chef) wa Kike anatafuta Kazi anapatikana Mwanza

    Ameshapata kazi? Kama bado njoo PM na mawasiliano kamili nimuunganishie mahali. Fanya fastaaa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Sakata la CAG: Viongozi wa Kiislamu wasema Spika ana ajenda ya siri

    Ulevi wa madaraka ni mbaya sana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    JamiiForums Tanzania Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

    De Agosto alitoka nae 1-1 na TP kutupwa Nje ya mashindano Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    JamiiForums Tanzania Simba leo Ikimfunga TP Mazembe Naponda ponda Mapumbu yangu kwa Nyundo

    Njoo PM tuyajenge Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ikumbukwe Simba SC imetolewa hatua ya robo fainali Club Championship

    Hapa ndipo tunapokosea. Simba amecheza klabu bingwa afrika na hakucheza na Azam, Lipuli, mbao wala Yanga. Kipimo chake ni Klabu bingwa Afrika. Hesabu za Simba zimekuwa za hovyo sana hasa alipotegemea uwanja wa nyumbani tu. Ni hiviiii, ingekuwa ni mashindano ya mtoano kuanzia game one basi ni...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

    Nina black beauty hivi na jicho matata hatari. Nora ni mwingine kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    JamiiForums Tanzania Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

    Nina black beauty hivi na jicho matata hatari. Nora ni mwingine kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tusiokuwa na mazoea ya kuhesabu pesa benki tunapopewa na mateller wa hizi benki tuwe makini, wamenipiga leo

    Ni rahisi kuchomoa ten ten kwa baadhi ya mafungu ya milioni lakini sio 150k katika fungu la milioni-moja, mbili kwa bulk figures kama hizo unazihakiki chumba maalum kwa kutumia machine. Wewe ni mzembe kama wazembe wengine Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom