Huenda Yule ' Chatu ' anayefugwa Kisiwa cha Jirani na Gymkhana na Mikadi akawa tayari ameshajipatia Kitoweo chake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
Tuwe makini tu na wengineo tusiendelee kuwa ' Kitoweo ' chake kama ' Vitoweo ' vyake vingine viwili vitatu vilivyokwisha tangulia ' Tumboni ' mwake. Na njia pekee ya Kumkwepa huyo Chatu ni kuwa tu ' Neutral ' ( mwendo wa Panya wa Kung'ata na Kupuliza ) katika maoni pamoja na Michango yako hasa Masuala Mtambuka ( Current Affairs )za Tanzania, Afrika kwa ujumla na hata huko Ng'ambo Ulaya na Marekani vinginevyo ukijifanya tu una ' Kiherehere ' na unatafuta ' Popularity ' kama siyo ' Fame ' kwa Taifa lenye Watu Waoga na Wanafiki tegemea kuwa ' Kitoweo ' cha ' Chatu ' wa Kisiwa cha katikati ya Gymkhana na Mikadi.

Nawasilisha.
 
Chatu kameza mdude tayari?
It's preposterous, we should be vigilant on stone.

Hii ' post ' yako sijaielewa Mkuu hapa una maanisha nini labda? Manake naona mara sijui mdude mara tena sijui preposterous mara tena sijui vigilant mara tena stone. Na bahati mbaya Kwangu sijui kabisa Kiingereza hivyo nitakushukuru mno kama ukinitafsiria hapo ulipoandika kwa Kiingereza tafadhali.
 
Tuwe makini tu na wengineo tusiendelee kuwa ' Kitoweo ' chake kama ' Vitoweo ' vyake vingine viwili vitatu vilivyokwisha tangulia ' Tumboni ' mwake. Na njia pekee ya Kumkwepa huyo Chatu ni kuwa tu ' Neutral ' ( mwendo wa Panya wa Kung'ata na Kupuliza ) katika maoni pamoja na Michango yako hasa Masuala Mtambuka ( Current Affairs )za Tanzania, Afrika kwa ujumla na hata huko Ng'ambo Ulaya na Marekani vinginevyo ukijifanya tu una ' Kiherehere ' na unatafuta ' Popularity ' kama siyo ' Fame ' kwa Taifa lenye Watu Waoga na Wanafiki tegemea kuwa ' Kitoweo ' cha ' Chatu ' wa Kisiwa cha katikati ya Gymkhana na Mikadi.

Nawasilisha.
"Gamba la Nyoka" utunzi wa E. Kezirahabi. Kitabu kizuri sana kile. Nilikisoma zamani sana mkuu na sikubahatika kukiweka kwenye maktaba yangu. Unakijua?
 
kisiwa gani hicho mkuu???

Cha usawa wa Bahari eneo la katikati ya Gymkhana na Mikadi. Ni Chatu ambaye anapenda sana ' Vitoweo ' vya Watu wenye viherehere na wanaotafuta Umaarufu wa Masuala Mtambuka yanayoendelea katika ama eneo lake husika alilopo au katika Taifa lake analoishi. Ila njia pekee ya Kukwepa huyo Chatu ' Hatari ' ni kuwa tu na tabia za Mbunge Mmoja Mtani wangu ( namhifadhi )ambazo ni Kuponda sana halafu baadae unakuwa Rafiki za wenye Chatu kisha mambo yako yanaenda vizuri sana tu. Na kama ni Mtu ambaye angeshaliwa na Chatu huyo Siku nyingi sana basi ni huyo Mbunge ( Muunganisha Zanzibar na Tanzania Bara hasa Kiupinzani ) ila kwakuwa ni Mjanja huwa anauma na kupuliza wala hawi ' Kitoweo ' tarajiwa cha huyo Chatu ' Hatari ' kama wengine ambao wanakurupuka tu.
 
Hii ' post ' yako sijaielewa Mkuu hapa una maanisha nini labda? Manake naona mara sijui mdude mara tena sijui preposterous mara tena sijui vigilant mara tena stone. Na bahati mbaya Kwangu sijui kabisa Kiingereza hivyo nitakushukuru mno kama ukinitafsiria hapo ulipoandika kwa Kiingereza tafadhali.
Atakuja Ras Simba Mkuu. Ondoa Shaka!
 
Mamaee mpaka 2025 great thinkers wote watakuwa marehemu

Na ili tusiwe ' Marehemu ' na ' Kitoweo ' cha Kutukuka cha Chatu ' Hatari ' yatupasa kuanzia sasa wote tuwe Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Wapumbavu ) tu Mkuu sawa? Hapana chezea ' Kitu ' hatari cha Mlango Bahari kati ya Gymkhana na Mikadi kwani Kinameza ' Viherehere ' wote wa Masuala Mtambuka ndani ya eneo au nchi husika.
 
"Gamba la Nyoka" utunzi wa E. Kezirahabi. Kitabu kizuri sana kile. Nilikisoma zamani sana mkuu na sikubahatika kukiweka kwenye maktaba yangu. Unakijua?

Naogopa nikisema nakijua nami naweza kuwa ' Kitoweo ' cha Nyongeza kwa Chatu ' Hatari ' ambaye huenda tokea Juzi au Jana kama siyo leo akawa ameshiba kabisa ' Kitoweo ' chake Kizuri sana. Hivyo jibu lako sahihi tu ni kwamba sikijui hicho Kitabu na kama bado unacho basi nakushauri endelea tu Kukisoma Wewe mwenyewe ili ukibahatika Kukutana na huyo Chatu ' Hatari ' utakuwa na majibu ' Kuntu ' ya kumpa sawa?
 
Ngoja kwanza waje mkuu maana wengi watapita kimya kimya kwa kumuogopa huyo chatu

Wewe humuogopi huyo Chatu ' Hatari ' Mkuu? Si unaona Mimi Mwenzako wala huyo Chatu hanisumbui kwakuwa nimeiga tabia za Yule Mbunge Mtani wangu ( asiyependa Kuchomekea Mashati yake na huwa akivaa Suti hazimpendezi labda tu ile Suti ya Kikorea ndiyo humpendeza ) aliyewaunganisha kwa muda mfupi Watu wa Pemba na Dar es Salaam ambapo kuna muda nauma kwa upande wa Wamiliki Chatu huyo na muda mwingine nawaunga mkono Wamiliki Chatu hao hao hivyo wanaona kuwa sipashwi kuwa ' Kitoweo ' Kifuatacho cha Chatu ' Hatari ' Wao.
 
Wewe humuogopi huyo Chatu ' Hatari ' Mkuu? Si unaona Mimi Mwenzako wala huyo Chatu hanisumbui kwakuwa nimeiga tabia za Yule Mbunge Mtani wangu ( asiyependa Kuchomekea Mashati yake na huwa akivaa Suti hazimpendezi labda tu ile Suti ya Kikorea ndiyo humpendeza ) aliyeunganisha kwa muda mfupi Watu wa Pemba na Dar es Salaam ambapo kuna muda nauma kwa upande wa Wamiliki Chatu huyo na muda mwingine nawaunga mkono Wamiliki Chatu hao hao hivyo wanaona kuwa sipashwi kuwa ' Kitoweo ' Kifuatacho cha Chatu ' Hatari ' Wao.
Mimi simuogopi huyo chatu ila yule mbunge nasikia na yeye ni zao la hao wafuga chatu
 
Mimi simuogopi huyo chatu ila yule mbunge nasikia na yeye ni zao la hao wafuga chatu

Tena hata Mama yake Mzazi nae huko nyuma katika Awamu ya Awali na ile iliyofuata nae alikuwa ni Team ya Wafuga Chatu huyo huyo na hata huyo Mbunge Mtani wangu ( asiyependa Kuchomekea Mashati na Suti hazimpendezi labda tu ile ya Kikorea ) nae Kiutendaji kuna uwezekano ni Mwangalizi wa huyo Chatu kwa Sura nyingine, ila sasa anacheza tu na akili za Watu wanaomuamini kumbe ndiyo anawaingiza ' Mkenge ' na wanajikuta Wao wanakuwa ' Kitoweo ' cha Chatu huku Yeye akipeta zake. Mtoto wa Nyoka ni Nyoka tu Mkuu nyie endeleeni Kumuamini tu.
 
Huyo pamoja na wenzake sijawahi kuwaamini ila kuna michalii humu haielewi kuwa inachezewa
 
Back
Top Bottom