Recent content by jossiekaps

  1. jossiekaps

    JamiiForums Tanzania Samuel Eto'o apigwa marufuku kuhudhuria Mechi za Cameroon kwa Miezi 6

    Mwamba anakataliwa
  2. jossiekaps

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Hakuna kitu ninachoogopa, Serikali haifanyi kazi kwa shinikizo

    Chalamila awe makini na kauli zake ili zimlinde mbele ya safari. Nadhani amesikia kilichoamriwa Dodoma na mabosi zake. Yeye amechagua kuwatisha wafanyabiashara, mabosi zake wameamua kukaa meza moja na wafanyabiashara kwa sababu walikuwa na hoja na wamemaliza kikao bila vitisho vya jeshi kama...
  3. jossiekaps

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kama Serikali inatuma vikosi kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?

    Chalamila, very sorry for mkuu. Hv Kariakoo umekwenda kusikiliza shida za wafanyabiashara au umekwenda kuwapa vitisho? Nikueleweshe tu, jeshi ni taasisi kubwa na nyeti kwa usalama wa nchi, huwezi kuitajataja kirahisi hivyo. Kuwa makini na kauli zako. Kumbuka Rais Samia wakati abakurejesha kwenye...
  4. jossiekaps

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Cyril Ramaphosa achaguliwa kuwa Rais kwa awamu ya pili

    Ni wazi VP atatoka AD na haya ndio makubaliano. Hata baadhi ya waafrika wenyewe wameona ni bora wazungu waingie serikalini kwa sababu ufisadi ni mkubwa ndani ya utawala wa ANC. Mauaji yasiyokoma, unyanyasaji wa kiwango kikubwa hasa wanawake, wizi, ukosefu mkubwa wa ajira ni mambo yanayowasumbua...
  5. jossiekaps

    JamiiForums Tanzania Israel: Mawaziri Wawili watishia kujiuzulu na Kuvunja Serikali ikiwa Israel itasitisha Mapigano Gaza

    Hamas wangapi wameshakufa hadi sasa? Angalia raia wanaokufa na idadi ya magaidi wa Hamas wanaokufa pia. Ni vita yenye malengo kwa Israel, lakini iliyokosa usahihi macho na badala yake inaumiza raia wasiokuwa na hatia hasa wanawake na watoto haijalishi upande gani umejeruhiwa sana. Hii ni kwa...
  6. jossiekaps

    JamiiForums Tanzania Mke atuhumiwa kumpiga mumewe kwa rungu na kupelekea kifo chake

    Hapo suala ni moja tu, kukosekama uaminifu ndani ya ndoa.
  7. jossiekaps

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

    Ukiona watu wanashabikia mikataba isiyo na kichwa wala miguu, ujue kuna ulaji hapo.
  8. jossiekaps

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni akutwa na Maambukizi ya COVID-19

    Siku ngumu za maisha yake kiafya zinaanza kupiga hodi.
  9. jossiekaps

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Tina Turner afariki dunia akiwa na miaka 83, alikuwa na Saratani ya Utumbo

    One of my favourite artist. #RIPTiner
  10. jossiekaps

    JamiiForums Tanzania Botswana: Rais Mstaafu adai Serikali inapanga kumkamata na kumuua akirejea nchini humo

    Aamue arejee Botswana ili afie nyumbani au abaki aliko na afie hukohuko
  11. jossiekaps

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Kwa Afrika Mashariki, nchi ambayo haina mzigo wa mikopo kuliko nyingine zote ni Tanzania

    Kumbe kulikuwa na mashindano ya kukopa pesa?🤣🤣🤣😍
  12. jossiekaps

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mahakama yamuachia huru Wendy Mrema aliyetuhumiwa kumuua mama yake mzazi na kumzika

    Aliyeamua sio hakimu...ni serikali iliyosema haina nia ya kuendelea na kesi.
  13. jossiekaps

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kiswahili ni Afrika Mashariki, Kiswahili ni Tanzania, Kiswahili ni Amani na Upendo

    Wazungumzaji wa lugha ya kiswahili ni zaidi ya mil 150. Chukulia mfano, Tanzania, Kenya, Kongo na Burundi zote hizi kiswahili kinatumika sana. Ongeza Uganda na Rwanda ambao kiswahili kinazunguzwa japo kwa kulazimisha
  14. jossiekaps

    JamiiForums Tanzania Amuua binti wa kazi kisha kuvunja chumba na kuiba pesa

    Ukatili mkubwa aiseee😭😭
Back
Top Bottom