Recent content by Jospina

  1. Jospina

    Je, ni kweli Juma Akukweti alipigwa ‘kimbora’ Mbeya?

    Alijaza viroba vya mchele kwenye Ndege na akalazimisha kuondoka na tail wind against ushauri wa wana anga waliomshauri asubirie saa nne kamili ili hali ya upepo iwe nzuri!
  2. Jospina

    Vita baridi ya chanjo za Covid 19 imeanza

    "Vita baridi" ya chanjo za Covid 19 imeanza: 1. Uingereza wana chanjo ya kwao. 2. Marekani wana chanjo ya kwao. 3. Urusi wana chanjo ya kwao. 4. Uchina wana chanjo ya kwao: 5. India (yenye watu zaidi ya bilioni, imesema itanunua kwa Mwingereza (ambao ni ushindi au zawadi ya kwanza tangu...
  3. Jospina

    Tuzo Za Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa '''10 - 2020''' Ligi Kuu Bara ina walakini

    * MUKOKO Mechi 4 goli 1 Assist 0 Dube Mechi nne Goli 3 Assist 3 MESHACK WA GWAMBINA Mechi : 4 Goal : 4 Assist : 2 Mchezaji Bora MUKOKO Au Kuna Kigezo Kingine Kimetumika Ili Kumpata Mchezaji Bora _*Anaejua Tuelimishane Kidogo
  4. Jospina

    Msaada: Taa ya kuonesha 'Check Oil' inawaka

    Naomba mrejesho langu pia lina tatizo kama hili
  5. Jospina

    Rostam Aziz akubaliana na Yanga kununua hisa 29%

    Rostam Aziz akanusha taarifa ya kutaka kununua Yanga SC hisa zenye thamani ya dola milioni 19. Aseme yeye si muumini wa mfumo wa kuuza hiza kuendesha vilabu vya soka nchini. “ taarifa zinazoendelea mitandaoni ni za uzushi na hazihusiki na mimi kwa namna yoyote ile . “
  6. Jospina

    UDOM iitwe Jakaya Kikwete University

    Na Tanzania iitwe Nyerere. Naomba kuwasilisha
  7. Jospina

    Maharage miti, nani anayajua vizur?

    Maharage miti, nani anayajua vizur? Miti yake ni perennial sio kama maharage ya kawaida, mkulima amesema amepata Tanga ila mm nimeona gairo uzuri wake unagrow maeneo ya ukame, swala la pili ni juu ya nutritional value yake jee iko sawa na maharage ya kawaida?
  8. Jospina

    Kazi ipo hii ndio ratiba maalum ya viporo vya Simba FC

    17/4 Coastal Union vs Simba SC 20/4 Kagera Sugar vs Simba SC 23/4 Alliance vs Simba SC 26/4 KMC vs Simba SC 28/4 Biashara UTD vs Simba SC 1/5 Prison vs Simba SC 3/5 Mbeya City vs Simba SC Sasa ile kauli mbiu ya DO OR DIE iendelee hapa.
  9. Jospina

    USONI KWA OKWI NA NYUSO NYINGINE MBILI

    -Siku Tanzania inacheza na Uganda kwenye pambano lililo ishuhudia Taifa Stars ikiungana na Cranes kwenye safari ya Misri kuna kitu niliwaeleza watu niliotazama nao pambano hilo. -Niliwaambia kuwa iwapo Emmanuel Okwi atapangwa ni wazi atakuwa kwenye wakati mgumu sana, mimi huwa ninasema Okwi ni...
  10. Jospina

    Do or Die Aussems Anza hivi kesho

    Do or Die Aussems Anza hivi kesho 1-Aishi Manula 2-Zana Coulibaly 3-Mohamed Hussein 4-Erasto Nyoni 5-Pascal Wawa 6-James Kotei 7-Mzamiru Yassin 8-Clatous Chama 9-John Bocco 10-Meddie Kagere 11-Emmanuel Okwi Formation 4-1-3-2
  11. Jospina

    Everton sasa kucheza na Simba

    -Kuna uwezekano klabu ya Eveton ikacheza na klabu ya Simba badala ya bingwa wa mchuano ya Sportpesa Super Cup 2019 kutokana na timu zote ambazo zimeingia Fainal hazidhaminiwi na kampuni hilo. Bandari, Kariobangi Sharks na Mbao zilikuwa timu mwalikwa kwenye michuano hiyo. Huku timu tano Simba...
  12. Jospina

    Simba vs Saoura. probable lineup

    -Kila la kheri Simba SC wapigeni pigo la moyo JS Saoura leo na ushindi wa mechi ya leo utawapa nguvu ya kupambana mechi zinazofuata Mungu ibariki Simba, Mungu Ibariki Tanzania. 1-Manula 2-Gyan 3-Hussein 4-Wawa 5-Juuko 6-Kotei 7-Chama 8-Mkude 9-Bocco 10-Kagere 11-Okwi...
  13. Jospina

    Wanayanga tumchague Baraka Igangula. . kijana mstaarabu na mwenye nia ya dhati kuipeleka Yanga mbele

    " Nawaomba wana Yanga wasije wakafanya makosa siku ya Jumapili, nawaombeni sana mchagueni Baraka Igangula. . kijana mstaarabu na mwenye nia ya dhati kuipeleka Yanga mbele, atatujengea uwanja na kujenga ghorofa pale Mafia hata akaunti yetu ya Bank itakuwa na pesa kama kipindi kile cha Iman...
Back
Top Bottom