Recent content by JosphatiG

  1. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Mmi nimekutana nao jana, mshikaji wangu kanipeleka. Ilikuwa saa Saba mchana nikashangaa nilipofika nikashangaa wanasalimiana GOOD MORNING nilishituka Nikawaza labda nipo Dunia Nyingine, lakni haikuwa hivyo nikajisemea moyoni kiingereza kimevamiwa na wahuni. Si nikapewa wasilisho na simulizi zote...
  2. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Elibariki mwehu kabsa anaharibu movie.
  3. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Umenipoteza hapa sielewi tena
  4. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Wwe unaharibu utamu nyamaza bana Flaviana
  5. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Yes uko sahihi mdau 😁😁
  6. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Peniela
  7. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Kumbe nilichelewa vitu vitamu viko huku, nilikuwa mzembe kusoma Peniela na Mathew mmeniondolea uvivu Hongera mtunzi
  8. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kuvaa Kanga au Kitenge

    Ni kwawakubwa tu kama bado hujafikia huko kaa kimya tizama na upite pembeni
  9. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kuvaa Kanga au Kitenge

    Vaa sio shida
  10. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini bubu wengi huwa jinsia ya kiume?

    Hatari
  11. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania Upinzani ujipange, Huyu hafai kupewa tena miaka mitano

    Pole sana, Africa tunahitji Rais mwenye busara kama JPM pigeni vigeregere mkizinguwa tunampatia miaka 10 zaidi mbele ainyooshe nchi hii kwa uozo uliokuwa umejengeka.
  12. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania King'amuzi gani naweza kuwapata WWE?

    MBC action na ETV kipindi cha WWE huwa vinaonyeshwa saangapi? Naomba unipatie mda kwasababu Azam hawaonyeshi ratiba
  13. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania Jifunze kutengeneza incubator inayotumia mafuta ya taa na hydronic farming kams mrafi

    Bora hata Wewe umetuwekea intro
  14. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kununua

    Wapi huko na Weka bei ya manunuzi
  15. JosphatiG

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kununua

    Moro sehemu gani?
Back
Top Bottom