Je, kwanini bubu wengi huwa jinsia ya kiume?

Je, kwanini bubu wengi huwa jinsia ya kiume?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,494
Reaction score
29,283
Kwa asilimia 80% ya ninaowaona/kukutana nao wengi ni jinsia ya kiume, hivi kuna sayansi gani hapo au kuna mahusiano gani na hiu jinsia ni mara chache sana ukute jinsia ya kike je? hii huchangiwa na nini zaidi.
 
Mambo ya genetic hayo mkuu,
 
mbona mademu wapo kibao tu! ...SEMA kuwajua ni vigumu, kwasababu ukimsemesha njiani AKIUCHUNA UTAJUA NI POZI KAKUKAUSHIA ILA WAPO WENGI SANA!
wanaume wanajulikana kirahisi kwasabu AKIUCHUNA Atakufa njaa! lazima akaze hivo hivyo wuuh wuuh....
 
Wengi ninaowajua Mimi ni wanawake
 
Back
Top Bottom