Hivi kwanini watu wanang'ang'ana kumzuia LOWASA asiwe rais ikiwa MUNGU amemkubali? Hivi kuna mtu anaweza kupinga mpango wa MUNGU? Watamtukana sana lakini wataona LOWASA yuuleeee anaingia ikulu. Hivi watu hawajui kuwa wafalme huwekwa na MUNGU? Nini maana ya miaka 50 ya utawala wa CCM? Maana...
Kwanini watu wanang'ang'ana kumzuia lowasa asiwe rais ikiwa MUNGU AMESHAMKUBALIII? AU hawajui kuwa haya ni majira ya LOWASA kuwa rais? Hata kama wangesema LOWASA ni mbaya kiasi gani. MUNGU ameshamchagua hakuna wa kuweza kupinga.
dr. Slaa hajabomoa bali amejenga. Ukitaka kujua kama amejenga angalia muda aliotumia kujenga hiyo nyumba. Kwa miaka zaidi ya kumi dr slaa amekua akiijenga cdma. Kwa hiyo hawezi kuibomoa kwa dakika 10 hata kama ingekuwa ya nyasi.
Kwa wale wenye uhakika wa kushindwa hata kabla ya kura ndio watakaojitoa. KARATU; ROMBO, ARUSHA, KIGOMA, KASKAZINI, HAI, SIHA, KHA! kumbe sio 30 is more than 65.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.