Na hio biashara ina mifumo mibovu sana kaka kuanzia ziwan hadi sokoni hapo mwanza kiukwel mm sikushauri ufanye hio biashara bora ulime mahindi visiwan huko au ufanye biashara yoyote hata uchinga utatoboa kisiwan huko lakin samaki ujipange na utajiona una mkosi kumbe mfumo wa biashara ni mbovu
Mm nimeishi sengerema kuna visiwa vinapatikana wilaya hio yan swala la waganga na ushirikina kawaida sana hakuna mtu anaendesha shughuli za uvuvi bila ushirikina yan ipo wazi ukienda kwenye maduka salooon vitu vimening'inizwa ukiuliza utajibiwa ulinzi huo kiukwel ndugu zetu hao wanaminia sana...
Nimesoma michango ya wachangiaji kitu nilichokuja gundua ni shida ya tafsiri ya maneno haya wawili KUOA na NDOA kundi linalo kataa ndoa linakubali mfumo wa kuoa na kundi linalo washangaa wanao kataa ndoa halielewi mfumo wa kuoa ila wote hapo wanahitaji kuishi na mwanamke kupitia KUOA au NDOA
Sasa kaka kwann asiprotest kama utawala huo huo ndo imemfanya aishi kwenye mazingira ya kimaskin japo ana biashara zake watu wanahitaj haki kaka sio kisa maskin ndo kila kitu kiwe ndio watu washapoteza maisha kisa kusaka hak zao na vizaz vyao vilifaidika acha mama apambane watoto zake waje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.