Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 7,031
- 5,576
Kila.za Wa lumumbChama kinachoongozwa na bwana Makengeza na Mr Zero ulitarajia hawa CHAGADEMA waje na lipi lipya
Kila.za Wa lumumbChama kinachoongozwa na bwana Makengeza na Mr Zero ulitarajia hawa CHAGADEMA waje na lipi lipya
Nyinyi watu vipi? Mmesahau ile sukari kutoka Chato ambayo imechanganywa na asali ndiyo ilikuwa inauzwa kwa 5000 kwa kilo. Baba J. anaweka kumbukumbu hatari ya ponti zero, zero 378.Duh sukari 5000 hii ni kali
Hivi unadhani anamnyoosha nani kama sio maccm menzake?Ha ha haaaaa
Yupo na ataendelea kuwepo azidi kuwanyoosha haswa haswa.. mnaisoma namba humo
Hapa kazi tu
Huyo labda mungu wako na ukoo wenu! Sisi Mungu wetu hapendi umasikini, hapendi mauaji, hapendi visasi wala chuki. Hivyo usimsingizie kuwa hilo ni chaguo lake.Mtasema sana.. Na ndo kwanza kaanza.. Hapa kazi tu.
Uzuri wa JPM anausema ukweli.kwani nani hajui kama JPM hakuwomi kwa wale walio walio tia nia Mapema? Ndo ushangae Leo? We unaishi nchi gani bana.
JPM ni mpago wa Mungu
Mhula mmoja ni miaka 5. Sema imekuwa kama ni lazima vile mtu apewe mihula 2. Aanze mwenyewe kwa kutochukua fomu ya kugombea muda wake ukiisha, kama kweli anamaanisha anachoongea au kilikuja kichwani tu akiwa pale akaropokwa.Kwa nin kuongeza, si walete hoja ya kumpunguza mihula ya kuwa Rais, use mhula mmoja tu huyu jamaa naona hafai.
Anadai anapigania wanyonge, huku hajui hata alivyotupandishia bei ya sukari. Eti anadai akiingia madarakani ilikuwa 5000 tena mbele ya maelfu anatudanganya hivyo.
Kadanganya vingapi...?
Tumpunguzie mihula. KAMA KINA NKAMIA WANATAKA AONGEZEWA SISI TUNATAKA APUNGUZIWE
Hivi kila anayekataa maovu ya rais ni chadema? Kuna wengine tupo chaumakweli hali imezidi kubana huko chadema. hizi ndio hoja mlizobakiwa nazo.
Vijana wa sasa wanaita mapovu. Magufuli ataendelea wanyoosha tu haina namna , maana hamna hoja mnaishia kubwatukaMaandishi yako tu yanaonesha hujawahi kuwa na mawazo ya mbali toka uzaliwe, zaidi ya kuwaza utaendaje msalani.
Kutoka kwenye umiss hadi kuwa vuvuzela ...? Hatari sanaaa.
Mungu anaweza akamtuma malaika wake kuja kuangamiza wote wanaopenda kuisha kwa uozo.Huyo labda mungu wako na ukoo wenu! Sisi Mungu wetu hapendi umasikini, hapendi mauaji, hapendi visasi wala chuki. Hivyo usimsingizie kuwa hilo ni chaguo lake.
Huna hoja.. kalale sasa.Akili ya kijani fikra za mwenyekiti
Kazi ya JPM ni ya kututukuka.. Hakuna asiye jua umuhimu wa JPM dunia nzima.. Hovu yenu BAWACHA mnaweweseka kwa speed yake mtakosa hata uongozi ndani ya Bawacha.kwa kigezo kipi?
Mpango Wa mungu Wa kununua madiwani kisha wanakula kona na hela zenu mnaishia kuita watu walioandaa wapumbavu? Hakika huyo mungu wenu ni kiojaMungu anaweza akamtuma malaika wake kuja kuangamiza wote wanaopenda kuisha kwa uozo.
Mmekaa na mafisadi sasa mnaanza kulukaluka kama ngedele.
JPM ni Mpango wa Mungu.
hahahhaaaaa dah umenichekesha sana aiseee .Kuna lipicha la huyu mzee ofisini yaani kila nikiiona huwa akili inacease hadi najikwaa kwenye meza.... Sina uhakika kama huyu jamaa ni binadamu kweli
Mungu yupi????Mtasema sana.. Na ndo kwanza kaanza.. Hapa kazi tu.
Uzuri wa JPM anausema ukweli.kwani nani hajui kama JPM hakuwomi kwa wale walio walio tia nia Mapema? Ndo ushangae Leo? We unaishi nchi gani bana.
JPM ni mpago wa Mungu
na mpaka sasa anafanya majaribio, ndiyo maana nchi inaenda hovyo tu.Rais anayegombea kwa majaribio ili kutuongoza hatufai na hatumtaki.