Recent content by joshua siao

  1. joshua siao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaonyesha Haji Mnoga alichezea U 17 ya Uingereza na sasa Taifa Star

    Zuhura Yunusi Ikulu mawasiliano ni raia wa England
  2. joshua siao

    JamiiForums Tanzania Get Rich or Die Tryin: Niliyoyapitia katika ukuaji wangu

    Sawa maina tu.ekuelwa japo uongo mwingi
  3. joshua siao

    JamiiForums Tanzania Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

    Mbona kawaida sana, tatizo lipo msumbiji saivi apaeleweki
  4. joshua siao

    JamiiForums Tanzania Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

    Istokee kutekanatekana hapo msumbiji
  5. joshua siao

    JamiiForums Tanzania Gold Mafia: Huduma ya utakatishaji fedha – Uchunguzi Uliofanywa na Al Jazeera

    Mambo ni mengi haya makanisa ya manabii matajiri yanamambo mengi
  6. joshua siao

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya Waislam (99%) inaweza kuwa kikwazo cha Uturuki kutokuwa mwanachama rasmi wa EU?

    Naikumbukwe USSR alitaka kuishambulia uk na ufarasa ndio wakaikoa kumbukumbu cremia war
  7. joshua siao

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya Waislam (99%) inaweza kuwa kikwazo cha Uturuki kutokuwa mwanachama rasmi wa EU?

    Nchi zilizo mwanachama wa EU zinakatiba insyofanana kwa kiwango kikubwa na Sheria za nchi na nchi hazimzuii mwananchi wa nchi flani kukosa uhuru changamoto ipo hapo cos uturuki kunamambo anastaili ayarekebishe ambayo ni magumu kwa uturuki cos wao bado wanalinda dini zaidi
  8. joshua siao

    JamiiForums Tanzania Watoto ni chanzo kizuri sana cha taarifa. Unapokuwa kazini wao wanazurura mitaani

    Zamani tulikuwa huru sana nchi ilikua nzuri hii tuliijua mitaa na mitaa ilitujua ilikua hakuna uwezekano wa mtoto kufanyiwa ukatili wa namna yeyote japo watoto wakike walikua na mipaka yao ya kutembea ila watoto wakiume hakuna Kona hatukuijua Watoto wa kiume nakumbuka tulitambuana kwa marika...
  9. joshua siao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chombezo: Bao tatu za mgeni!

    [emoji3]mwamba umetisha
  10. joshua siao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi: Kesi ya Mzee Mnyoka

    Naomba unirushie hizo adithi 0621945983
  11. joshua siao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamisri wachukia dhana kwamba Malkia Cleopatra II alikuwa ni mwafrika mweusi

    Mwenyew umeandika INASEMEKANA
  12. joshua siao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi: Nilinusurika kuchomwa moto

    Noma
  13. joshua siao

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

    Eneo hilo Kuna lavakali inayozunguka speed ambayo haipo kwenye dunia Kwa Sasa pia kuna maji yanayozunguka speed kupishana na huu uji wa volcano hapo ndipo mlipuko wa muundo wa dunia ulianzia
  14. joshua siao

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

    Tanzanite ilijitengeneza kutokana na mfumo wa joto Kali na namna maji yalivyokua yanakimbia moto wa kivolcano tanzanite kuwa kwenye eneo lenye maji na pambapamba kulisababishwa na kufunga nakufungua kwa hali hiyo ya mkimbio wa lava na maji Jabali linalokaa na tanzanite nijabali lililooza...
Back
Top Bottom