Recent content by josephzeclassic92

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mobile spy tz

    habari wanajf. Naomba kujuzwa kama kuna mtu aliyewahi kutumia iyo app ya tz,je inafanya kazi kweli au ni matapeli kama softbox tanzania inapatikana kwenye link hii apa. www.spymobiletanzania.wapka.mobi
  2. J

    JamiiForums Tanzania Never miss zip codes/postal codes

    tanzania ninavyofahamu hatuna mfumo wa ZIP(zone improvement plan) code na POST(power-on-self-test) code so ishu inakuja pale nikiacha blank registration haiwezi kukamilika wanaxema zip code is required,na sisi hatuna huu mfumo. Anayejua aya mambo atusaidie maana ni shida na pia wakati wa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Never miss zip codes/postal codes

    Habari wanajf,samahani naomba mnieleweshe maana ya ZIP CODE/POSTAL CODE na uwa zinakuwaje maana nikifunguaga baadhi ya account online uwa wanahitaji ZIP CODE/POSTAL CODE. Leo nilikuwa najiunga na PAYPAL nikashindwa kuhitimisha zoezi la registration coz wanahitaji ZIP CODE
  4. J

    JamiiForums Tanzania Softbox tanzania

    vp ulifanikiwa kuipata softbox tanzania?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    habari wanajf,samahani naomba mnisaidie free software ya kuangalia TV online mfano AZAM,TBC,STARTV,CLOUDS etc kwa kutumia PC(LAPTOP) bila kulipia,ahsanteni sana,MUNGU AWABARIKI.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kapata mkopo 90% ila kapata full scholarship nje ya nchi

    naomba nipe information za izo full scholarship,kuna web aliziona au inakuwaje?plz help me
  7. J

    JamiiForums Tanzania Softbox tanzania

    habari wanajf,samahani kuna ukweli wowote kuhusu hii software inayoitwa SOFTBOX TANZANIA iliyogunduliwa na mtanzania mwenzetu anayeitwa WILLIAM BRAXTON,je kwa mliojaribu kutest inafanya kazi vizuri?
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kike

    habar nahtj mwanamke awe mzur na mrembo,model. Elimu from diploma to bachelor degree,age:18-25,awe virgin,mkristo,asiwe mfupi wala mnene. Kabila lolote. Aliye tayar anipm
  9. J

    JamiiForums Tanzania Remote ya laptop

    habari wanajf??naomba mnisaidie kama kuna remote ya kuwashia au kuzimia laptop(PC),ctak kutumia keyboard au mouse nahtaj remote kama ipo na inapatikanaje na bei yake kiasi gani. AHSANTENI SANA
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta hii kitu lakini....

    Habari wanaJF, Naombeni software za free za kuhack FB Password na Whatsapp Account..
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta hii kitu lakini..............

    habari wanajf naombeni software za free za kuhack fb password na whatsapp account
  12. J

    JamiiForums Tanzania Generating random numbers

    Habari ndugu zangu naomba mnisaidie program or software ya kugenerate random numbers mfano kwenye jackpot ya meridian betting tanzania,zile number zinatokaje??ule mchezo wa betting wa atleast(keno).... Plz naombeni msaada wenu maana kila siku uyu mzungu anakula hela zangu tu.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Pre university courses in Tanzania

    Habari naomba mnisaidie vyuo ambavyo vinatoa pre university courses/short courses kwa ajili ya kujiunga na university especially engineering,computer science,applied statistics,natural science.
Back
Top Bottom