Recent content by josephwaara

  1. josephwaara

    D.M.O Karatu nunua jenereta kituo cha afya Dabal D

    Mnaopewa nafasi za kutumikia wananchi mfanye kazi hizi kwa ufanisi na siyo kuwaza tu manufaa yenu binafsi. Kituo cha afya kilichokuwa kinatumika kama hospitalivya wilaya kinakosaje jenereta? Yaani wagonjwa wanakosa huduma kisa umeme hakuna kweli, hizo elfu 10 za kufungua faili zinakwenda wapi...
  2. josephwaara

    Msaada: Simcard huwa inakula data?

    Wakuu heshima kwenu. Kuna jamaa angu analalamika ulaji wa wa data kwenye simu yake, unaweza kukuta 2gb sinakata mchana mmoja tu ila matumizi yake anadai ni ya kawaida tu. Nilipocheki Data Usage kwenye simu yake niliona kinachotumia data kwa wingi ni "Simcard Traffic ." (Sikumbuki vizuri maneno...
  3. josephwaara

    Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

    Sasa huu uzee unaoanzia miaka 22 ni uzee wa nchi gani maana kila dalili unasema kuanzia miaka 20+ Hii post ina ujinga mwingi asee[emoji57]
  4. josephwaara

    Mpoto na Msechu ni marafiki wa karibu wa kila familia tajiri?

    Hawa miamba kila msiba wa watu mashuhuri hawakosi kuingia studio na kutengeneza nyimbo za maombolezo na misibani hawakosi kuweka kambi. Huwa najiuliza hawa jamaa kweli ni usanii tu, ukaribu na familia au maokoto? Mpoto anisamehe sijawahi kumwelewa kabisa[emoji19] R.I.P Lowassa.
  5. josephwaara

    Simu "copy" ina maana gani?

    Wakuu bila shaka huu siyo msamiati mpya ila kama mjuavyo inawezekana jambo unalisikia miaka mingi tu na kulielewa juujuu tu ila ukitakiwa kulieleza kitaalamu ukakwama. Nimepita ukurasa fulani mtandaoni jamaa anasema wanauza iPhone 15 Pro Max 512Gb ila copy (sh laki 4) ndo nkapaata mshawasha wa...
  6. josephwaara

    Jamani anayejua dawa ya kuumwa na Nge

    Miaka 12 baadaye niko kusoma comments hapa baada ya mke wangu kuumwa na nge. Mliochangia huu uzi 2012 mpo???
  7. josephwaara

    Hivi tatizo la umeme ni huku mikoani tu?

    Sure mkuu, kwa mfano hapa Karatu ni zaidi ya wiki sasa jua halipo[emoji848]
  8. josephwaara

    Hivi tatizo la umeme ni huku mikoani tu?

    Wakuu mnaoishi huko kwa Chalamila hali ikoje? Ndugu zenu huku hali ya umeme imekuwa tete mno yaani sasa hakuna hata ratiba ya kukata tena. Ni nini siri ya hili tatizo wakuu mbona mvua nyingi mno?
  9. josephwaara

    Mara ya kwanza kufika Mwanza

    Mkuu usipende kuwa negative sana.
  10. josephwaara

    Mara ya kwanza kufika Mwanza

    Wamefanyaje mkuu!
  11. josephwaara

    Mara ya kwanza kufika Mwanza

    Wakuu habari, Nina safari ya Musoma kutokea Arusha kwa basi, nimepata basi la Mwanza hivyo itanibidi kulala Mwanza kisha niendele na safari siku ya pili. Kwa kuwa ndio mara yangu ya kwanza kusafiri kuelekea huu ukanda nkaona niombe ABC za ninakoelekea kwa maana pa kushukia, mtaa wa kulala...
  12. josephwaara

    Magodoro unaletewa mpaka ulipo bure

    Mbona hujaonesha density ya godoro mkuu.
  13. josephwaara

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wakuu mimi nimeona kama ile mechi imeuzwa kwa hizi kampuni za betting[emoji849]
  14. josephwaara

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee wa kuweka mzigo naomba mwongozo kuhusu football betting app nzuri. Uzuri kwa maana ya urahisi wa kutumia, odds nzuri, ulipaji wa haraka, wigo wa masoko n.k
  15. josephwaara

    Naweza kubadili jina nililotumia miaka mingi?

    Sawa mkuu ila shida yangu kubwa ni watoto kupata haki ya kutambulika kama mimi ni baba yao, ndo nawaza pengne lile jina lirasimishwe kama jina langu hata kama sitobadili hili la sasa. Kwani siwezi kumiliki majina mawili??
Back
Top Bottom