Recent content by Josephine03

  1. Josephine03

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi kuiita pesa ya nchi yake pesa ya madafu, kiongozi kweli huyo?

    Kwahili hats mimi sijaona shida kuiita pesa yetu no madafu sababu neno pesa ya madafu inamaanisha dafu halijawahi au muuza dafu hawezi kupanga being ya dafu kwa gharama za kigeni. Name dafu laliwa lachokolewa sana hapa kwetu mpaka twapata tezi Duke Yakheeee
  2. Josephine03

    JamiiForums Tanzania Baada ya CHADEMA kutikisa Jimbo la Isimani,Lukuvi aanza kubambikia Vijana kesi Polisi

    Unamaanisha huyu Lukuvi mwenye pesa zetu za escrow??????
  3. Josephine03

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ulinzi huu wa kininja kwa polisi Lwakatare asaidia kutangazwa kwa matokeo

    Pipooooz Magamba kwishaaa
  4. Josephine03

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Ifakara kwa mwanasheria wetu Kibatara kati ya mitaa 33 tumechukua 26 wao 4 tena ndio kama vile
  5. Josephine03

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Msiba..

    Dah, Pole sana, Mwenye Enzi Mungu awape nguvu na mioyo ya huruma
  6. Josephine03

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mh MBOWE,JOHN MNYIKA,TUNDU LISSU,PETER MSIGWA nk.Someni ni muhimu!!

    Nasikia Tunu kayazoea sana haya machozi, sijui jamaa anafanya bongomovie?
  7. Josephine03

    JamiiForums Tanzania Martine Shigela aliomba kupumzika UVCCM, kutangaza jimbo2015

    UVCCM? How old is he?
  8. Josephine03

    JamiiForums Tanzania world vision

    Pole, re-arrange CV yako tu
  9. Josephine03

    JamiiForums Tanzania Nahitaji busara zenu katika hili, Mzee mwanakijiji, Mchambuzi na wengineo

    Kati ya hao watatu mimi sipo, ngoja nisubirie vipanga wa JF
  10. Josephine03

    JamiiForums Tanzania MFUASI wa CHADEMA apoteza maisha wakati akishangilia Ushindii wa Udiwani Arusha!!

    Dah Umetangulia kamanda umetuachia majonzi, pole familia ya marehemu mpate nguvu na Mungu awalinde
  11. Josephine03

    JamiiForums Tanzania Nilidhalilishwa sana, ila mambo yamebadilika!

    Mikasa haiishi kabisa jamani
  12. Josephine03

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kawe walia na upinzani

    Ushaanza kuweweseka wewe Mwache kamanda Mdee apige kazi kwa uhuru
  13. Josephine03

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa kizazi kipya wanaotarajiwa kugombea ubunge 2015

    Hivi kugombea ndo kuwa rais mpaka umfanyie mfano? Unajielewa kweli mkuu
  14. Josephine03

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa kizazi kipya wanaotarajiwa kugombea ubunge 2015

    Ngoja nikusaidie Sugu ni form six na ana exposure ambayo akisimama na wewe na kadigirii kako ka Kata lazima uzime zako. Alipoenda ulaya alifanikiwa hata kurudi na vifaa vyake sio huyo Krisslukosi wenu mpaka leo anabeba box, akirudishwa bahati mbaya hajui ataanzia wapi
Back
Top Bottom