Recent content by Josephine

  1. Josephine

    Utafiti mpya: Lowassa aongoza tena mbio za urais

    Ukisema mzinifu unamaanisha nini? Kuzini ni nini?tumieni hata nywele chache kufikiri. Tatizo mnatumika kama condom je hujui huyo unayemtetea anamaajabu mengi ? Kuzaa na Waheshimiwa kadhaa ni nini na aishi nao? Stop nonsense speak the reality. Mmepafanya hapa kuwa genge la wachumia tumbo,hakuna...
  2. Josephine

    Airtel Customer Care

    Ni kero hiki kitengo
  3. Josephine

    UKAWA waumbuka Dodoma, Akidi yapatikana bila ya wabunge walio nje ya Ukumbi

    Tanzania bwana, Inatakiwa Kuingizwa kwenye maajabu ya Dunia. Maana mambo tunayofanya ,yanatufanya wote tuwe kituko na kivutio kwa wengi. So what next after those Ndiyoooo!!!!
  4. Josephine

    Ajali Nyingine Katavi

    https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=768338686544998&id=100001066210443
  5. Josephine

    Son of Ex-Minister Malima in historic medical discovery

    Kazi nzuri hongera sana. Asante kwa kuweka jina la Tanzania katika historia
  6. Josephine

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    This is the time kujua tuna Mungu au Tuna shetani. Our God is a living God.
  7. Josephine

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Analindwa na jeshi la malaika ndiyo maana kila mbinu zenu chafu zinashindwa, Kwani ni Mara ngapi mmejaribu? Mind your words God is watching!!!!
  8. Josephine

    CHADEMA/UKAWA wana Njaa na Matunda/Mazao ya CCM!

    Tatizo ya ushabiki usio na kiasi,ujinga uliopitiliza wa kutotaka kujifunza. Enzi za Mwalimu Tanzania ilijengwa na watanzania wote. Julius K Nyerere hakuwa tu msimamizi alituongoza kwa mifano na sote tukiwa shuleni tulitanani kuifanyia kitu nchi yetu. CCM ni ya 1977 na hapo ndipo ulanguzi na...
  9. Josephine

    Mliokuwa mkimtetea Flora Mbasha mko wapi? mteteeni tena

    Mbona Gwajima yupo Kanisani Kwake hata kesho atafundisha maana leo amefundisha ,au gwajima wa JF ?
  10. Josephine

    Nifahamisheni viwanda hivi viko wapi?

    Hapa hutapata wachangiaji. Sikuhizi maswali haya hayana majibu.
  11. Josephine

    Sitta avunja kanuni kumhujumu Warioba. TBC wahusishwa, UKAWA waja juu

    Mkigoma, Ya kalenga waachie wahusika,usijeachwa mdomo wazi. Ushabiki huu ipo siku utawatoa flue.
  12. Josephine

    Sitta avunja kanuni kumhujumu Warioba. TBC wahusishwa, UKAWA waja juu

    Mimi namuomba Mungu tuendelee kwa style hii tu,naamini ipo siku wale wote mnaojifanya hamelewi leo mtaelewa tu. Kwanini Kanuni itenguliwe?na imetenguluwa lini? Ia Pili walisema Raisi ndiye atakae zindua Bunge iweje leo wabadili. Siri nayoiona hapa ni Rais amejipanga ili apangue hoja za...
  13. Josephine

    CHADEMA...hii trend sio

    Heshimu sana mdomo wako maana ,maneno yako ndiyo shimo lako. siku yaja na si mbali maneno ya vinywa vyenu yatawahukumu. asanteni sana kwa maneno yenu ya dhihaka za namna zote.Ndiyo yanayotupa afya. ashukuriwe aliye tuumba na kutufanya tuishi mpaka leo,kwani yeye anaijua kesho yetu ndiyo...
  14. Josephine

    Rais Kikwete safarini Marekani

    Tabia aliyonayo baba yako si Tabia yetu sote. Tangu niishi na Dr miaka Sita sasa sijawahi kumpeleka hospitali nje ya nchi kwa Maradhi yoyote,kwa hili namtukuza Mungu anayemtunza Na maombi ya watanzania wengi yanampa Afya njema. Kwa taarifa yako,Afya Zetu ni imara Sana maana Yupo aliyebeba...
  15. Josephine

    Josephine Mshumbusi unainajisi CHADEMA. Tafadhali na tuchore mstari, tuseme yatosha sasa!

    Asante sana, your atitude reveals to me who you are. basi naomba itoshe kusema,kwakuwa moja ya kazi zako ni kumonita na kucontrol mabandiko yote ndani ya jukwaa hili,kafanye homework yako vizuri,rudi kwenye mabandiko yangu ya jana,urejee hapa utupe jibu nini umegundua.
Back
Top Bottom