Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
Lording..............................
View attachment 135534
View attachment 135534
Viongozi wa Chadema mliopo hapa jamvini Songoka amesema kweli tupu. Imefika mahali sasa mfanye vema kwa upande wa akina mama. Wabunge wenu wanawake wako passive sana. Pia BAWACHA tunasikia ipo ila it is also passive. Wekeni mwanamke shupavu pale ambaye hawezi kununulika na UWT na baba yao. Kipeni kitengo fungu ili kianze kazi mara moja kabisa. Vinginevyo 2015 si mbali!!! Mambo yote yafanyike 2014. Songoka asante sana kwa kuliona hili. Sincerely presented here for immediate action!!! Power to you, CDM.
Hilo watu wengi wanaoitakia mema Chadema wameongea sana kikwazo ni Uongozi wa juu umeonekana kupuuzia sana ushauri wa kuimarisha wing ya akina mama na wanawake kwa ujumla.Huwa najiuliza wakati mwingine iwapo akina Mbowe wana nia kweli kushinda Uchaguzi 2015 au wapo pale kwa biashara zao tu?Ukweli ni kwamba itakuwa ni ngumu sana kushinda Uchaguzi 2015 kama wataendelea kulipuuza kundi hili muhimu la wapiga kura.Wanawake ni wengi kuliko Wanaume hapa Tanzania na karata muhimu mno kwa Chama chochote cha Siasa chenye ndoto ya kuongoza Dola.Chadema wana BAWACHA lakini ni sawa na haipo tu kwasababu hakionekani kuwa active kabisa kisiasa.
Pia nimevutiwa na namna mleta mada alivyoweza kuzama ndani kabisa katika kukitafuta kiini cha kwanini Wanawake nchini hawahamasiki kukiunga mkono Chadema kwa wingi,Sababu uliyoitoa ina ukweli ndani yake,Chadema inabidi wabadilishe SLOGAN kutoka ya sasa ambayo si tu ni AGGRESSIVE bali pia MASCULINE hadi ile SLOGAN ambayo ni GENTLE/POLITE ili kuwavuta Wanawake na Wanaume Wastaarabu.
Viongozi wa Chadema mliopo hapa jamvini Songoka amesema kweli tupu. Imefika mahali sasa mfanye vema kwa upande wa akina mama. Wabunge wenu wanawake wako passive sana. Pia BAWACHA tunasikia ipo ila it is also passive. Wekeni mwanamke shupavu pale ambaye hawezi kununulika na UWT na baba yao. Kipeni kitengo fungu ili kianze kazi mara moja kabisa. Vinginevyo 2015 si mbali!!! Mambo yote yafanyike 2014. Songoka asante sana kwa kuliona hili. Sincerely presented here for immediate action!!! Power to you, CDM.
Mleta mada ni mbumbumbu wa siasa za chadema....nakukumbusha kidogo tu
mwaka jana katika mlipuko wa bomu uliotokea soweto...mmoja wa makamanda aliyeaga dunia alikuwa ni mwanamke!
Usiifananishe chadema na vilaza TANU bana...
tatizo slaa na mbowe wanawatongoza nakuwapachika mimba thats why wanaogopa
Josephine alipigwa kwa ajili ya kiherehere chake, huwezi kuwatukana Polisi eti kisa wewe ni Mchumba wa Katibu Mkuu wa Chadema, halafu wakakuacha hivi hivi.
Heshimu sana mdomo wako maana ,maneno yako ndiyo shimo lako.
siku yaja na si mbali maneno ya vinywa vyenu yatawahukumu.
asanteni sana kwa maneno yenu ya dhihaka za namna zote.Ndiyo yanayotupa afya.
ashukuriwe aliye tuumba na kutufanya tuishi mpaka leo,kwani yeye anaijua kesho yetu ndiyo maana anatupa afya na nguvu nyingi za kuishi kwa uvumilivu.
walishawahi kumtongoza mama yako?
Mboga ya wakubwa???? Meaning?
Heshimu sana mdomo wako maana ,maneno yako ndiyo shimo lako.
siku yaja na si mbali maneno ya vinywa vyenu yatawahukumu.
asanteni sana kwa maneno yenu ya dhihaka za namna zote.Ndiyo yanayotupa afya.
ashukuriwe aliye tuumba na kutufanya tuishi mpaka leo,kwani yeye anaijua kesho yetu ndiyo maana anatupa afya na nguvu nyingi za kuishi kwa uvumilivu.
Unalalamika nini??fanya jitihada za kuhamasisha wanawake CHADEMA si kulia lia tuu hapa...unatake kuonewa huruma??????
joyce mukya, esther matiko, cesilia pareso na rose kamili sukum