Kwenye hili wahanga ni wengi sana.
Hapa ngoja niwaandikie hiki kituko.
Kuna hiyo manzi nilitokea kuikubali ile mbaya basi mipango ya kimaisha ikafanyika.
Baada ya muda ikasema ina mimba. Siku zilienda ikajifungua. Niligundua mtoto hakuwa wangu baada ya kutunza mimba tangu ikiwa changa miezi...
Kuna jamaa yako ana smartphone na hajui afanye nini?
Una smartphone ambayo haikupi hela wakati unaiwekea bando?
Kama jibu ni ndiyo basi sogea hapa ujifunze fursa muhimu ili utumie bando lako hilo hilo kwa manufaa.
Ninahitaji watu 100 tu kujifunza kwa siku ya leo na kesho.
Kianzio ni...
A wise man once said "Hate has 4 letters but so does Love. Enemies has 7 letters but so does Friends. Lying has 5 letters but so does Truth. Cry has 3 letters but so does Joy. Negativity has 10 letters but so does Positivity." Life is 2 sided, choose the better side of it.
Jukumu la aliyekuvulia nguo ni kuhakikisha anakupikia msosi wa kueleweka ule ushibe mambo mengine yaendelee.
Wanawake wa zamani walifanya hivyo na walipata huduma za kueleweka toka kwa babu zetu na hakukuwa na malalamiko wala manung'uniko kama siku za leo.
Kiufupi wanaovua nguo wakati...
Punguzeni malalamiko, utakuta anaelalamikia wanawake kuhepuka na yeye ana ka uhusiano kasikokuwa rasmi nje ya hiyo ndoa husika.
Mwanamke akishajua hilo unahisi atareact vipi wakati na yeye kuna Hamis anamsumbua kila siku na anambania?
Suluhu ni kila mtu kufunga mlango wake.
Maji ya bahari hayawezi kutumika kwenye matumizi ya nyumbani mpaka yafanyiwe utaalam wa kuyaondoa chumvi.
Nafikiri technolojia kama hiyo ingekuwa inafikiwa kirahisi ingepunguza sana adha ya maji mjini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.