MASWALI YA WAZI KWA RAIS MAGUFULI.
1.hivi Magufuli anajua kwa nini nchi ina katiba?
2.Kwa kuwa Magufuli ni Mkristo.Hivi anajua kwa nini dini anayoabudu ina Biblia ?
3.Kwa kuwa tawala za zamani ama zilikuwa za Kiimla ama za Kidikteta. hivi Magufuli anajua kwa nini hakuna udikteta ama uimla...
huu uongo mje muache kuandika.
nani aliyethibitisha kuwa uwezo wa meli zingine zote ni mdogo?
kwenye maelezo wameandika vizuri kuwa hii ni meli ya pekee na bora kuwahi kutengenezwa na jeshi la marekani.
habari ya kutuambia kuliko zote duniani wakati hakuna mashindano yamefanyika na...
NYERERE HAKUPIGANIA UHURU WA KUMKUMBATIA NYOKA TULIYEMKATAA.
Na:Joseph Mshinga.
leo:09/12/2015.
Tanganyika ilipata uhuru siku ya leo miaka 54 nyuma.
lengo la uhuru ni Tanganyika kujitawala na kujiamulia yenyewe mambo yake.
Katika hali ya kawaida hakuna urafiki kati ya binadamu na...
sijaeleweka? sipendekezi kutatua mgogoro wa matokeo kupitia kesi.
matokeo nimesema mshindi atangazwe na baada ya hapo Jecha si wa kuacha hivihivi lazima ashitakiwe kwa makosa aliyofanya yeye kama yeye. Hata kama kesi itaenda kwa ngedere lakini itatoa picha jinsi mahakama zetu zinavyofanya...
makosa nimeyasema.
kesi hiyo inaweza kufunguliwa na wagombea ama wapiga kura. Ila si kesi ya kushughulikia mtanziko wa kisiasa Zanzibar bali ni kesi ya kumwajibisha Jecha hata baada ya suluhu kuwa imepatikana ili kuwe na fundisho kwa wakati mwingine. Bora angebwaga manyanga.
kwanza yeye ashitakiwe kwa kuwa hakuna ushahidi kuwa alilazimishaa basi yeye aubebe mzigo wote. Kama akisema alilazimishwa basi litakuwa kosa jingine katenda na shitaka hilo liunganishwe kwa kuvunja kifungu kingine kinachokataza tume kupokea shinikizo toka kwa mtu yeyote.
Na:Joseph Mshinga.
Msisitizo wangu uko palepale kuwa Mshindi halali atangazwe na si vinginevyo. Hakuna cha kutangazwa hali ya hatari, sijui habari za katiba mpya mara serikali ya umoja wa kitaifa . Hakuna sababu kwa yote haya. Mshindi atangazwe.
Jecha ashitakiwe.
1.Katiba ya Jamhuri ya...
hakuna kwemda mahakamani.
hapo hilo swala ni kukomaa nalo kisiasa na kidiplomasia.
ukienda mahakamani unawarahisishia kazi CCM ya kubariki alichokifanya Jecha.
JECHA NDO APELEKWE MAHAKAMANI YEYE KAMA YEYE SI KWA AJILI YA KUPATA TAFSIRI YA KUSHUGHULIKIA MZOZO WA ZANZIBAR.
NAMNA WABUNGE WA VITI MAALUMU WANAVYOPATIKANA.
NA: Joseph Mshinga.
1.idadi yote ya wabunge wa viti maalumu katika bunge ni asilimia 40 ya viti vyote vya bunge katika majimbo yote(40% of all seats/constituencies ).
idadi ya viti vya ubunge ama majimbo kwa sasa ni 264.
40% ya 264 ni...
MSIMAMO WANGU JUU YA UVUNJAJI WA DEMOKRASIA NA KATIBA YA ZANZIBAR.
na:Joseph Mshinga
Matokeo ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar yalifutwa kwa amri ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar (ZEC) bwana Jecha S. Jecha.
muda mfupi tu baada ya matokeo kufutwa nilisema wazi kuwa TUME YA...
RUZUKU YA VYAMA VYA SIASA.
utaratibu wake.
anachambua:Joseph Mshinga.
MAKUNDI YA RUZUKU ZA VYAMA.
ruzuku za vyama zipo katima makundi mawili.
1.Ruzuku inayotokana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(JMT).
hii inaelezwa katika sheria ya vyama vya siasa sura namba 258...
SHERIA YA UCHAGUZI INATOA MWANYA KWA WANAFUNZI WALIOANDIKISHWA VYUONI KUPIGA KURA NJE YA VITUO VYAO IWAPO TU WATAKUWA MAWAKALA WA VYAMA SIKU YA UCHAGUZI.
Uchambuzi Na: Joseph Mshinga.
Na maandishi haya yamfikie Jaji Damian Lubuva.
Nawaandikia wanavyuo wote popote walipo waitumie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.