UKAWA ni sawa na safina ya kuokoa Taifa

UKAWA ni sawa na safina ya kuokoa Taifa

Joseph Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2014
Posts
232
Reaction score
143
MAGUFULI HAKUWAHI KUFUNGUA MDOMO WAKE KUKEMEA UFISADI.

MAGUFULI KASHIRIKI UFISADI.

HIVYO WASIHADAE TAIFA KUWA NI MWADILIFU.

BILA KUJALI NANI YUPO WAPI NAIFANANISHA CHADEMA SAWA NA SAFINA NA CCM SAWA NA SODOMA NA GOMOLA.

na:Joseph Mshinga.

UFISADI WA MAGUFULI UNAMWONDOLEA SIFA YA KUITWA MWADILIFU.

John Pombe Magufuli mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi anapambwa na wapambe kuwa yeye ndiyo mgombea mwadilifu.
Anayeweza kuamini uadilifu wa Magufuli ni yule tu ambaye ameamua kujifanya haoni na hasikii.

Ama kujifanya hana macho na hana masikio.

Ni nani hakusikia ufisadi wa Magufuli katika wizara yake uliobuliwa na CAG mwaka jana na taarifa ilisomwa bungeni.

Uadilifu wa Magufuli uko wapi kwa kutafuna zaidi ya billion 250 katika wizara?

Ni nani kati ya wanaompigia kampeni Magufuli hakusikia hili?

Je huu ndio uadilifu mnaowaambia watanzania?

Kibaya zaidi Magufuli alipokuwa anajibu ukwapuaji huo wa billion 250 bungeni akalidanganya bunge kuwa pesa hizo zililipwa kwa makandarasi. Je huu ndio uadilifu wa Magufuli? Aling'atang'ata meno tu bungeni na kila aliyetazama aliona.

Hakuna mtu anayeweza kuitwa mwadilifu huku amelidanganya taifa.

Katika ripoti nyingine ya CAG katika bajeti ya mwisho ya mwaka huu. CAG ambaye ni chombo cha serikali akarudia tena kuwa hata baada ya Magufuli kudai kuwa pesa ile walilipwa makandarasi mwaka jana ukweli ni kwamba hakuna pesa iliyolipwa baada ya ukaguzi wa mara ya pili.Wizi ulifanyika.

Mimi naona wanaotuhubiria uadilifu wa Magufuli wamejitoa fahamu.

Maana haiwezekani ukaguzi ulifanyika mara ya Kwanza ukasema Magufuli kaiba billion 250.

Katika majibu yake Magufuli akakana kuiba hizo hela.

Ukaguzi ukafanyika mara ya pili tena ukathibitisha Magufuli kaiba billion 250.

Na kitu kibaya zaidi mara ya pili wakabainisha kuwa Magufuli kalidanganya bunge kwa kusema zile pesa zililipwa Makandarasi.

Haya yote mtu asiyeyafahamu ni yule tu ambaye haoni na hasikii kwa kuwa hawezi kusoma taarifa ya CAG wala hakusikia kilichosemwa na CAG bungeni.

Hao ambao wana-ona na wana-sikia lakini wanamnadi Magufuli kuwa Mwadilifu watakuwa wamejitoa fahamu na ufahamu.

Hapa wala sigusi ufisadi alioufanya kwenye nyumba.

MAGUFULI HAKUWAHI KUKEMEA UFISADI.

Katika historia ya Taifa hili lililokumbwa na ufisadi na skendo nyingi ndani ya miaka 10 Magufuli hakuwahi kusimama popote na kuweka msimamo wa kukemea rushwa na ufisadi.

Wala hakuwahi popote kukemea udhaifu mkubwa wa serikali ikiwemo ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu kama tokomeza na utoroshwaji wa twiga kama anavyofanya sasa.

Katika skendo:-

EPA Magufuli kimya(Kikwete anawajua walioiba).

RICHMOND Magufuli kimya(skendo ya Kikwete).

KIWIRA Magufuli kimya(ya Mkapa).

ESCROW Magufuli kimya.

TWIGA Magufuli kimya.

Ni lini Magufuli amewahi kujitambulisha kuwa anachukia rushwa na ufisadi?

Kuna watu walijipambanua kufanya hivyo toka siku nyingi kama Sitta, Lembeli. Ina maana Magufuli hakuwepo? Eti leo watu wanaibuka na kutuambia kuwa huyu anachukia Rushwa na Ufisadi. Babu yangu Slaa nakuheshimu sana. Ni lini huyu bwana aliwahi kupigana vita ya Ufisadi kama unavyotuambia sasa? Ama kuongea kwenye kampeni sasa? He is corrupt too and yet in a corrupt system.

Eti leo kweli watu wajitoe fahamu na kutuambia kuwa huyu Magufuli anachukia ufisadi. How a reckless statement ?

Kama wanaomnadi wamejitoa fahamu sisi hatuwezi kujitoa fahamu.

Katika stori iliyoandikwa juu ya miji ya Sodoma na Gomola na uovu uliokuwa umevuka mipaka ambapo hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kuiiangamiza miji hiyo na watu wake wote lakini kila aliyetaka kuokolewa alipewa fursa ya kuingia kwenye SAFINA bila kujali kama alikuwa sehemu ya watu wa Sodoma na Gomola.

Isingewezekana kiongozi yeyote kuibadili Sodoma na Gomola na hukumu yake ilikuwa ni kuangamizwa bila kujali anabaki nani humo na kila aliyekubali kuungana na Safina ilikuwa ruksa.

CHADEMA/UKAWA imechukua image ya SAFINA na CCM imechukua image ya SODOMA NA GOMOLA.

Hata kama CCM wangemsimamisha malaika hakuna namna ya kuibadili CCM na ndio maana tunasema lazima CCM iangamizwe kama ilivyoangamizwa Sodoma na Gomola.

Na wote waliopanda ndani ya SAFINA wataokolewa na bado milango haijafumgwa mpaka sasa

CHAGUA CHADEMA/ UKAWA.

CCM waje na sera nyingine na si sera ya uadilifu wakati wao ndio wameifanya CCM iwe Sodoma na Gomola kwa kukosa uadilifu.

Hakuna mwadilifu ndani ya CCM kuanzia mwenyekiti wa Chama mpaka mjumbe wa nyumba kumi.

Eti leo wahubiri uadilifu! No way.

NA: Joseph Mshinga.

The West is the all time enemy of Africa.

Signature: 09/10/2010.
 
Lowassa aliwahi kukemea nini katika maisha yake ya kisiasa kuanzia akiwa AICC, ubunge, Uwaziri mpaka Uwaziri Mkuu?

Nothing in all the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity-Martin Luther King, Jr.
 
Utumbo wa kuku, Mzee mtei vijana wako hawawezi kazi.
 
Lowassa aliwahi kukemea nini katika maisha yake ya kisiasa kuanzia akiwa AICC, ubunge, Uwaziri mpaka Uwaziri Mkuu?

Nothing in all the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity-Martin Luther King, Jr.

hapa tunajadili uadilifu aliojipachika Magufuli.

jibu kwanza hayo niliyosema kabla hujauliza swali hapa.

hatuwezi kuwa na mgombea muongo kama Magufuli aliyejipachika uadilifu huku tukijua ni miongoni mwa wasio waadilifu katika nchi hii.
 
hapa tunajadili uadilifu aliojipachika Magufuli.

jibu kwanza hayo niliyosema kabla hujauliza swali hapa.

hatuwezi kuwa na mgombea muongo kama Magufuli aliyejipachika uadilifu huku tukijua ni miongoni mwa wasio waadilifu katika nchi hii.
Kwa kukusaidia kajifunze kwanza maana ya utumiaji wa herufi kubwa katika maandishi kabla hujaleta hoja za kujadili. You are just shouting for nothing!

Hakuna hoja mbadala ulizoleta zaidi ya majungu na udaku.

Hatuwezi kujadili majungu na udaku kwenye jukwaa la Uchaguzi Tanzania. Peleka thread yako kwenye jukwaa la Jokes and Gossips ili tukajadili!

Gonga hapa,
Thanks!
 
Kwa kukusaidia kajifunze kwanza maana ya utumiaji wa herufi kubwa katika maandishi kabla hujaleta hoja za kujadili. You are just shouting for nothing!

Hakuna hoja mbadala ulizoleta zaidi ya majungu na udaku.

Hatuwezi kujadili majungu na udaku kwenye jukwaa la Uchaguzi Tanzania. Peleka thread yako kwenye jukwaa la Jokes and Gossips ili tukajadili!

Gonga hapa,

Thanks!

Kumbe taarifa ya CAG kuwa Magufuli kaiba ni udaku? basi serikali yote ya CCM ni serikali ya udaku na Magufuli alikuwa waziri katika serikali ya udaku.
 
Kumbe taarifa ya CAG kuwa Magufuli kaiba ni udaku? basi serikali yote ya CCM ni serikali ya udaku na Magufuli alikuwa waziri katika serikali ya udaku.
Angalia hapa ili upate majibu ya majungu na udaku wako,

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom