Joseph Mshinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 232
- 143
NYERERE HAKUPIGANIA UHURU WA KUMKUMBATIA NYOKA TULIYEMKATAA.
Na:Joseph Mshinga.
leo:09/12/2015.
Tanganyika ilipata uhuru siku ya leo miaka 54 nyuma.
lengo la uhuru ni Tanganyika kujitawala na kujiamulia yenyewe mambo yake.
Katika hali ya kawaida hakuna urafiki kati ya binadamu na nyoka.
miaka michache baadae Afrika ikaletewa mkataba wa SAP uliotaka na kuziamuru nchi zote za Afrika.
1.kuacha kumiliki viwanda.
2.kuuza viwanda vyote ambavyo tayari vilishaanzishwa hata kama vinaleta faida kubwa.(Mkapa aliuza viwanda alivyoanzisha Nyerere kwa sharti hili).
3.Kuruhusu wawekezaji wa nje(ndo waliua viwanda vyetu).
4.kupunguza matumizi na vipaumbele kwenye elimu(ili tuwe na taifa la wasiosoma wengi).
haya masharti hayana tofauti na ukoloni wa nyuma kwa Tanganyika kuamuliwa ifanye nini.
Mwl. Nyerere alikataa katakata kusaini mkataba huu wa IMF na WB(shirika la fedha duniani na benki ya dunia ambapo taasisi zote hizi ni za Marekani).
Mwinyi alipokuja akasaini mkataba huu na hivyo tukamkumbatia nyoka tuliyemkataa.
inasikitisha kuwa leo tunasheherekea uhuru lakini tunazuiwa kuwa na viwanda,tulilazimishwa kuuza viwanda vyetu vyote.
TUNAMKUMBATIA NYOKA TULIYEMKATAA.
Wakati leo tunasherekea uhuru wa Tanganyika tayari Tanzania imeshafanya na kukamilisha mazungumzo ya kuridhia mkataba mwingine unaoitwa EPA(Economic Partnership With Africa).
Huu ni mkataba uliobuniwa na umoja wa Ulaya ukilenga kuzididimiza kabisa nchi masikini na kulinda maslahi ya Ulaya.
moja ya msharti ya mkataba huu ambao Tanzania bado inasubiri kusaini ni kwamba.
1.sharti nchi iagize bidhaa toka ulaya kwa kiwango cha asilimia 80 katika bidhaa zote zinazoagizwa nje ya nchi.
ili tukanunue kwao tu na hata ukipangiwa bei kubwa sijui utaikataaje kama umeshasaini?
sijui maana ya soko huria iko wapi? Urafiki wa nyoka.
najua Ulaya wameshindwa kupambana na bidhaa za bei ya chee toka china na kukubali mkataba huu ni kujiumiza sisi maana watatuendesha kama toroli hiko mbeleni.
2.Tuuze bidhaa zetu Ulaya kwa asilimi 80(sijui tutauza nini hata viwanda hatuna).
huu ni urafiki wa nyoka.
EPA inanuia kulinda viwanda na uzalishaji wa Ulaya na kuua mipango ya viwanda na uzalishaji Afrika.
consequently EPA italinda na kuzalisha ajira nyingi zaidi kwa bara la Ulaya kwa kuifanya Afrika kuwa na soko lisilo na uamuzi wa kukataa bidhaa ama kukataa bei.
vilevile EPA itasababisha tatizo kubwa zaidi la ajira Tanganyika na Afrika na kulifanya Taifa kuwa la wachuuzi wa bidhaa ndogondogo kwenda ulaya na si Taifa linalozalisha.
ukinunua bidhaa zao na kwa vyovyote vile bei watapanga wao hivyo unawapa faida kwa viwanda vyao,unasababisha walipe wafanya kazi wao, wakiongeza uzalishaji wanaongeza na ajira na faida kwao.
vile vile tutalazimika kuacha mipango yetu huru ama kulazimika kutokuwa na mipango yetu huru ya kukuza uchumi.
huyu ni nyoka yuleyule tuliyemkataa.
najua wanashinikiza na kutishia kuongeza kodi za kibiashara ili kukomoa nchi inayokataa kusaini na kutekeleza mkataba.
Tusiipeleke nchi tulikotoka kwa kumkumbatia nyoka tuliyemkataa.
Masharti ya SAP nayo yaangaliwe upya tuachane nayo.ili tuanzishe viwanda vyetu na kukuza uchumi na ajira kwa watu wetu.
they make choices to invest in Africa on investments which will not bring development to Africa.
SAY NO TO SAP.
SAY NO TO EPA.
SAY YES TO FREEDOM.
Mwalimu Nyerere hakupigania uhuru wa kumkumbatia nyoka tuliyemkataa.
na:Joseph Mshinga.
signature:uhuru day.