Nimependa binti alivyohutubia kwa kujiamini, lakini ningefurahi zaidi mimi binafsi kama hapo mbele ya jina "Clement" kumgekuwa na jina jingine kama G.Clement Masanja, G.Clement Mahigi n.k
Wakati mwingine majina hutambulisha utaifa na utamaduni wetu. Hongera binti kwa kutuwakilisha vyema kama...
Lkn c nmesikia Muungwana mmoja anamaanisha kutujulisha kitu kama "You Can command God to do something 4 U na akaBless na Iwe"
("When a man impregnate a woman is he forcing God to produce a new soul")
na ni kweli inavyoonekana kuwa Muumbaji wa vitu vyote ni Mungu. Sisi ni waagizaji tu...
Wavivu wa kusoma utawajua tu!!! We umeambiwa kasome unaanza kujiteresha hapa. Kama una nia ya kutaka kujua c ukasome tu. Na Bible huwa ina nguvu c ajabu, Bila haya kuangaika sana unakutana na point za Topic husika zenye kukupa majibu yako. Bible ni kitabu KIKUBWA! Fikiria tu. Walioyaandika...
Umejuaje,,...? Je kama Alinyonya Damu?!
Halafu umesema huwa Hawapend kujionesha/kuonekana..! Sasa kama angeFeed,..Mass yote ile c kungekuwa na WWV ( World War Vampire).
Conclusion:Vitu Hvyo Bado Vipo Kwenye Fikra Za Baadh ya Wa2/Watafiti. Bt Physically they Do not Exist! Jamani tuna Vyombo...
We Mdogo Vp? Kwan huyu jamaa ana Akili Ndogo Kama Zako ambazo Haujui uko kwenye Jukwaa Gan? hapa Ndo Mahali pake kama hujui jibu pita hv...Uh dat ... Full of shit... Coz yu tawkng lyk yuv cloxd yo mouth en let yo ass tawk...y dnt yu sht up b4 yew get smakd d fuk uhp... [Wakaya] endelea na...
Na nikisema:
(a) "I came but I did not found you"
Nikiwa namaanisha kuelezea mda ambao umepita yaan:
found = si-ku-ku-kuta.
(b) "I came and I did not found you"
Nikiwa na maana ya kuonyesha uwezekano wa kuwepo kiunganishi/bridge/conjunction katika sentenc hyo:
"...came-and-I did not... =...
Wewe naona unafikiria kuigiza Bongo Movies. Unafikiri USA walkuwa na akiri ndogo kuondoa security system yenu na kupandikiza Ma-CIA kwenye ujio wa Obama, hilo nafikiri hata sirikali yenu inalitambua.
Sasa ujiulize "Ni kwann yanapotokea majanga kama mf; mlipuko wa grenade pale...
Wakuu tusiende Mbali sana! Inshort Maisha ni Safari ya Mtu anapozaliwa hapa Dunian akikutana na Mambo/changamoto nyingi zenye Shida, Misukosuko, Raha,Faraja hadi pale anapoiga Dunia (Kufa) ndio kunakuwa mwisho wa Safari (Maisha) yake.
Ni hvyo tu Wakuu.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Nakumbuka nikiwa Mdogo sana (sikumbuki exctly ni miaka mingapi lkn si zaid ya Mitano) nilikuwa napenda kujiombeleza kwa Watoto wenzang jambo ambalo siku moja yalinitokea ya kunitokea. Ni pale nilipokaomba pp katoto kenzang, kakanijibu;
'KAOMBE KANISANI" kuskia hvyo nikaingia church nikakuta kuna...
Me Memory yang inaanzia pale When I was about 5 year old na ni kabla cjaanza hata vdudu (nursery school) wazaz wang walikuwa na shamba la Mahind so ilipokuwa kila akitaka kuenda Shamba alikuwa akinichukua yeye pamoja na mimi na kwa vile nilikuwa Mpenz wa Vitumbua (na kwa wakat huo I remember...
Dodoma Wajengewe sanam ya Anamakinda akisoma Mswaada,****** akichagua watoa hoja,Lameck Airo akiwa amukunja uso hakui nn kinafanyika humo Bungen.
Joseph wa Mwanza
Kuna ile hali ya mtu kila anapotulia anakuwa anafikiria mambo mazuri yajayo mbele yake(yaani anakuwa anawaza mafanikio makubwa tu katika maisha yake hapo badae), Je aki Concentrate kwa kile anachokiwaza anaweza kufanikiwa? Pia, Je Hayo mawazo ni ya Kuigiza tu au yanahusiana vp na Psychic powers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.