Zitto Kabwe na Katiba mpya
Mwandishi Wetu - Toleo la 337
5 Feb 2014
WIKI takriban mbili kabla ya kuanza kwa Bunge la Katiba, mjadala wa muundo wa serikali tatu uliopendekezwa katika Rasimu ya Pili ya Katiba mpya umeendelea kupasua vyama vya siasa, Raia Mwema ikielezwa kwamba Chama cha...
Sasa hapo kosa la DW ni lipi? Maalim Seif kaitisha mkutano na media na kuwaeleza kuwa kutokana na fomu za matokeo kutoka vituo vyote vya kupigia kura kwamba ameshinda. DW kama chombo cha habari wameripoti tukio hilo moja kwa moja, kosa lao nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.