Mchawi alikuja na mtu aliyemloga,mganga akaagiza vifaa, baadae akarudi Yule Bibi Mchawi peke yake kumueleza mganga asimtibie yule mgonjwa maana yeye ndio aliyemloga,Mganga Akashangaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na akaanza kuuliza hadi faida za kuwa mchawi?
Swali huyo Mganga aliona nn kwa...
Kuwa mwanaume wa dar akili yako inafanya kazi mala 1000 ya mwanaume wa mkoa,hesabu na hali ya maisha ni tofaut kabisa na ukiwa mkoani n kama mbingu na ardhi
Nimezaliwa Mkoa nafahamu vitu vingi vipo kwenye systém inayeleweka Wakati wa Kulima na kuvuna
Ukiwa na Tsh 10000 haina noma maana haina...
Upuuz wa kiwango cha lami unaanzaje kugoogle history ya mke wako ktk zama hz? Mwanamke aliyedate na wanaume kumi tu unawaona wengi,Aisee huyo mkeo kwanza abusara sana usimuache wala usimuwazi mabaya ila ilaumu nafsi yako kwa kuwa mjinga kuanza kufukua makabur
kuna tatizo kubwa sana ktk fukwe za Dar,wengine wanapenda kufanyiwa hyo michezo na kila weekend hawakos beach lkn kuna wahanga wa huo unyama,Aisee kama una kabint kako au mkeo hakauki beach n hatariii
hayo mabadiliko ya maneno ndio unaita mabadiliko? hvi watu kukuogopa hyo unaita nidhamu? kukosa msimamo na kuwa kama kinyonga nayo n mabadiliko? siasa za chuki na visasi hayo ndio mabadiliko mliyohubili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.