2015 Mlihubiri Mabadiliko, 2020 Mtahubiri Nini?

Hoja ziko Nyingi tena ninayoipenda ni
ONDOA DIKITETA UCHWARA
 
2020 upinzani utapata kichapo ambacho hawajawahi kukifikiria tokea wawepo Tanzania.
 
We jamaa bado sana una mtazamo finyu sana unaosababishwa na elimu duni ya kuwa na uwezo wa kuchanganua mambo kwa kina. Huyu yupo ndani ya CCM lakini anajua fika uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM hawana chao ila wewe unatokwa povu zito kutokana na kutokuwa na uwezo wa kutafakari nini kinachoendelea nchini.

Hahahaha makaburi haya noma!
 
hayo mabadiliko ya maneno ndio unaita mabadiliko? hvi watu kukuogopa hyo unaita nidhamu? kukosa msimamo na kuwa kama kinyonga nayo n mabadiliko? siasa za chuki na visasi hayo ndio mabadiliko mliyohubili
 
Tanzania bado hapajakuwa na chama cha upinzani ambacho kina reputation ya maana . Mbaya zaidi tukijaribu kuwashauri wafanye nini ili wawe na comparative advantage ni kama wameziba masikio.
Kwani hicho ndicho kinasababisha Tanzania iendelee kuwa nchi maskini??
 
On mnachojua chana kina wanachama hakuna wafuasi.

Anyway muda utakapofika mtajua mpaka sasa hakuna mabadiliko labda kujaza chuki na Visasi kwenye Taifa ndilo mliloliweza kwa asilimia 100
Acheni woga. Mnaogopa nini?
 
Habari za leo Wanajamvi?

Leo najaribu kuvuta picha ya uchaguzi wa 2020. Nakumbuka kwa umri wangu, na kwa chaguzi nilizoshiriki so far uchaguzi wa 2015 ulikuwa mgumu sana, pengine hata mara kadhaa zaidi ya ugumu wa uchaguzi wa mwaka 1995. Yawezekana ukawa ni uchaguzi wa kwanza mgumu ambao CCM iliona kuna kila dalili za kuondolewa madarakani na kuwa kambi ya upinzani.

Uchaguzi wa 2015 ulihubiri mabadiliko. Ilikuwa ni mabadiliko katika mfumo mzima wa serikali na sekta/idara zake, na katika mfumo wa uchumi ambao ungeleta mabadiliko hata kwa sekta binafsi. Kiufupi yalihubiriwa mabadiliko katika mfumo mzima wa maisha ya wananchi. UKAWA na upinzani wengine nje ya UKAWA walihubiri mabadiliko. CCM baada ya kuona haja hiyo ya wananchi, waliahidi kwamba mabadiliko yaliyotarajiwa na wananchi hao yangeweza kupatikana ndani yake pia. Ilikuwa ni ngumu kuwaamini pengine na kile kilichodaiwa kuwa ni ahadi zisizotekelezeka, lakini mgombea wa CCM Mh. JPM aliwahakikishia wananchi kwamba angewaletea mabadiliko waliyokuwa wakiyatarajia.

Tangu Rais JPM aingie madarakani tumeona mapinduzi makubwa katika maeneo mbalimbali, kuanzia katika nidhamu kwa watumishi wa umma hadi katika mfumo wa uchumi. Tumeona elimu ya msingi ikitolewa bure, uwezo ndani wa ndani wa kugharamia miradi ukiongezeka, rasilimali zikilindwa kwa nguvu zote, na sekta ya uchumi kwa ujumla ikiboreshwa (umeme wa uhakika, usafiri wa reli, barabara, maboresho bandarini, airport, ukusanyaji kodi nk).

JPM anajitahidi sana kwenda beyond expectation, hali inayonifanya nione kwamba wapinzani watakuwa na kibarua kizito cha kuhubiri aina ya “mabadiliko” watakayoyataka, iwapo wataendelea na kauli mbiu hiyo hapo 2020; kwani mabadiliko yamekwisha patikana na yanaendelea kupatikana chini ya serikali ya awamu ya tano.

Iwapo upinzani watahubiri mabadiliko, Je ni mabadiliko gani hayo?

Benmpo
Pia 2015 tulizungusha mikono 2020 tutazungusha viuno
 
Acheni woga. Mnaogopa nini?

Kuna sehemu yeyote niliiomyesha kwamba ninaogopa??Kwenye dini ndipo kuna wauamini/Wafuasi,kwenye vyama ni WANACHAMA.Mengine jalizia,mkija kushtuka hatuko salama
 
Hatuko salama kwa sababu gani?
 
Kwa iyo uchaguzi 2015 ulikuwa free and fare election? Hahahaaa, elimu bure na huku wanachangishwa mashulen!?, Angalia Taifa.
 
Subiri wakati husika ukifika unaweza ukafahamu watahubiri nini
 
Habari za leo Wanajamvi?

Leo najaribu kuvuta picha ya uchaguzi wa 2020. Nakumbuka kwa umri wangu, na kwa chaguzi nilizoshiriki so far uchaguzi wa 2015 ulikuwa mgumu sana, pengine hata mara kadhaa zaidi ya ugumu wa uchaguzi wa mwaka 1995. Yawezekana ukawa ni uchaguzi wa kwanza mgumu ambao CCM iliona kuna kila dalili za kuondolewa madarakani na kuwa kambi ya upinzani.

Uchaguzi wa 2015 ulihubiri mabadiliko. Ilikuwa ni mabadiliko katika mfumo mzima wa serikali na sekta/idara zake, na katika mfumo wa uchumi ambao ungeleta mabadiliko hata kwa sekta binafsi. Kiufupi yalihubiriwa mabadiliko katika mfumo mzima wa maisha ya wananchi. UKAWA na upinzani wengine nje ya UKAWA walihubiri mabadiliko. CCM baada ya kuona haja hiyo ya wananchi, waliahidi kwamba mabadiliko yaliyotarajiwa na wananchi hao yangeweza kupatikana ndani yake pia. Ilikuwa ni ngumu kuwaamini pengine na kile kilichodaiwa kuwa ni ahadi zisizotekelezeka, lakini mgombea wa CCM Mh. JPM aliwahakikishia wananchi kwamba angewaletea mabadiliko waliyokuwa wakiyatarajia.

Tangu Rais JPM aingie madarakani tumeona mapinduzi makubwa katika maeneo mbalimbali, kuanzia katika nidhamu kwa watumishi wa umma hadi katika mfumo wa uchumi. Tumeona elimu ya msingi ikitolewa bure, uwezo ndani wa ndani wa kugharamia miradi ukiongezeka, rasilimali zikilindwa kwa nguvu zote, na sekta ya uchumi kwa ujumla ikiboreshwa (umeme wa uhakika, usafiri wa reli, barabara, maboresho bandarini, airport, ukusanyaji kodi nk).

JPM anajitahidi sana kwenda beyond expectation, hali inayonifanya nione kwamba wapinzani watakuwa na kibarua kizito cha kuhubiri aina ya “mabadiliko” watakayoyataka, iwapo wataendelea na kauli mbiu hiyo hapo 2020; kwani mabadiliko yamekwisha patikana na yanaendelea kupatikana chini ya serikali ya awamu ya tano.

Iwapo upinzani watahubiri mabadiliko, Je ni mabadiliko gani hayo?

Benmpo
Ccm itapata wakati mgumu kuliko vipind vyote 2020 na kuna uwezekano mkubwa mno wa kuwa ndilo anguko la ccm

Kilimo hoi,njaa kila mkoa,

Kauli za Rais tunazikumbuka sana,
"Mkoa wa kagera kwa nini nyie tu,UKIMWI nyie tu,Mara katerero,Mara tetemeko," huyo ndo rais chief of comfort
Mikopo ya vyuo vikuu danadana,watoto wa maskini sasa hivi ni kawaida kukosa mikopo

Elimu bure,shule haziendi,mfano shule ina wanafunzi 1200,capitation unaletewa laki 3, sasa hivi mitihani ya ndani haifanyiki,na kama wamejitahidi wanaandikiwa ubaon,wakati Kenya wanasambaza laptop mashuleni

Milioni 5o,kila kijiji sasa hivi ni ndoto tena,ccm na serikali yake haitaki hata igusie
Viwanda ,hii Sera ipo kwenye makaratasi na midomoni lakn utekelezaji zero,hii ni sambamba na kilimo kipo hoi

Maji,afya ni shida,nashindwa kuelewa ccm mtakuja na sera ipi,maana mambo yanayowagusa wananchi kwa asilimia kubwa hayaguswi,wamekalia bombardier

Hali uchumi mmoja mmoja duh ,sasa hivi huulizi,ingia tu mtaani na vijijini watakwambia hali ilivyo

Ajira,sasa hivi hakuna ajira,pia watu wengi wanapoteza ajira kwenye sekta binafsi,hii linajieleza

Watumishi wa umma,rais amewakatisha mori wa kufanya kazi, hakuna nyongeza za mishahara ,hata ile kisheria,madaraja hamna

2020 ccm ijiandae kisaikolojia kukabidhi nchi,kizazi kilichopo si kama kilichokuwepo mwaka 1990, hatuli maneno tunataka maisha mazuri,serikali itengeneze mazingira ya vijana kupata ajira au kujiajiri
 
90% ya watanzania wamezalowa ccm ikiwa madarakani
 
Habari za leo Wanajamvi?

Leo najaribu kuvuta picha ya uchaguzi wa 2020. Nakumbuka kwa umri wangu, na kwa chaguzi nilizoshiriki so far uchaguzi wa 2015 ulikuwa mgumu sana, pengine hata mara kadhaa zaidi ya ugumu wa uchaguzi wa mwaka 1995. Yawezekana ukawa ni uchaguzi wa kwanza mgumu ambao CCM iliona kuna kila dalili za kuondolewa madarakani na kuwa kambi ya upinzani.

Uchaguzi wa 2015 ulihubiri mabadiliko. Ilikuwa ni mabadiliko katika mfumo mzima wa serikali na sekta/idara zake, na katika mfumo wa uchumi ambao ungeleta mabadiliko hata kwa sekta binafsi. Kiufupi yalihubiriwa mabadiliko katika mfumo mzima wa maisha ya wananchi. UKAWA na upinzani wengine nje ya UKAWA walihubiri mabadiliko. CCM baada ya kuona haja hiyo ya wananchi, waliahidi kwamba mabadiliko yaliyotarajiwa na wananchi hao yangeweza kupatikana ndani yake pia. Ilikuwa ni ngumu kuwaamini pengine na kile kilichodaiwa kuwa ni ahadi zisizotekelezeka, lakini mgombea wa CCM Mh. JPM aliwahakikishia wananchi kwamba angewaletea mabadiliko waliyokuwa wakiyatarajia.

Tangu Rais JPM aingie madarakani tumeona mapinduzi makubwa katika maeneo mbalimbali, kuanzia katika nidhamu kwa watumishi wa umma hadi katika mfumo wa uchumi. Tumeona elimu ya msingi ikitolewa bure, uwezo ndani wa ndani wa kugharamia miradi ukiongezeka, rasilimali zikilindwa kwa nguvu zote, na sekta ya uchumi kwa ujumla ikiboreshwa (umeme wa uhakika, usafiri wa reli, barabara, maboresho bandarini, airport, ukusanyaji kodi nk).

JPM anajitahidi sana kwenda beyond expectation, hali inayonifanya nione kwamba wapinzani watakuwa na kibarua kizito cha kuhubiri aina ya “mabadiliko” watakayoyataka, iwapo wataendelea na kauli mbiu hiyo hapo 2020; kwani mabadiliko yamekwisha patikana na yanaendelea kupatikana chini ya serikali ya awamu ya tano.

Iwapo upinzani watahubiri mabadiliko, Je ni mabadiliko gani hayo?

Benmpo
Hembu jaribu fikiria hili:Mwanamke anaamka asubuhi anakwenda kwa jirani kwa mbwembwe,anamwambia jana ulipika pilau, leo unapanga kupika nini? Wakti yeye ana nyumbani. huyu atakuwa anataka kujifunza kwa mwingine ili nae akapike.
 
Tanzania bado hapajakuwa na chama cha upinzani ambacho kina reputation ya maana . Mbaya zaidi tukijaribu kuwashauri wafanye nini ili wawe na comparative advantage ni kama wameziba masikio.
Utakuwa ndio umepeta media,baada ya kutoka ktk gereza la fikra za wapumbavu wa kijamaa.Na unawaamini sana.Wenzio sisi tulishaona jinsi miwani ya ujamaa inavyodanganya watazamaji wake.Lazima wewe utakuwa pia unaamini kulogwa.
 
Tanzania bado hapajakuwa na chama cha upinzani ambacho kina reputation ya maana . Mbaya zaidi tukijaribu kuwashauri wafanye nini ili wawe na comparative advantage ni kama wameziba masikio.
Much know, ujuaji mwingi unda chama chako ili tuone kitakavyokuwa baadala ya kuwashauri wataiga.
 
Habari za leo Wanajamvi?

Leo najaribu kuvuta picha ya uchaguzi wa 2020. Nakumbuka kwa umri wangu, na kwa chaguzi nilizoshiriki so far uchaguzi wa 2015 ulikuwa mgumu sana, pengine hata mara kadhaa zaidi ya ugumu wa uchaguzi wa mwaka 1995. Yawezekana ukawa ni uchaguzi wa kwanza mgumu ambao CCM iliona kuna kila dalili za kuondolewa madarakani na kuwa kambi ya upinzani.

Uchaguzi wa 2015 ulihubiri mabadiliko. Ilikuwa ni mabadiliko katika mfumo mzima wa serikali na sekta/idara zake, na katika mfumo wa uchumi ambao ungeleta mabadiliko hata kwa sekta binafsi. Kiufupi yalihubiriwa mabadiliko katika mfumo mzima wa maisha ya wananchi. UKAWA na upinzani wengine nje ya UKAWA walihubiri mabadiliko. CCM baada ya kuona haja hiyo ya wananchi, waliahidi kwamba mabadiliko yaliyotarajiwa na wananchi hao yangeweza kupatikana ndani yake pia. Ilikuwa ni ngumu kuwaamini pengine na kile kilichodaiwa kuwa ni ahadi zisizotekelezeka, lakini mgombea wa CCM Mh. JPM aliwahakikishia wananchi kwamba angewaletea mabadiliko waliyokuwa wakiyatarajia.

Tangu Rais JPM aingie madarakani tumeona mapinduzi makubwa katika maeneo mbalimbali, kuanzia katika nidhamu kwa watumishi wa umma hadi katika mfumo wa uchumi. Tumeona elimu ya msingi ikitolewa bure, uwezo ndani wa ndani wa kugharamia miradi ukiongezeka, rasilimali zikilindwa kwa nguvu zote, na sekta ya uchumi kwa ujumla ikiboreshwa (umeme wa uhakika, usafiri wa reli, barabara, maboresho bandarini, airport, ukusanyaji kodi nk).

JPM anajitahidi sana kwenda beyond expectation, hali inayonifanya nione kwamba wapinzani watakuwa na kibarua kizito cha kuhubiri aina ya “mabadiliko” watakayoyataka, iwapo wataendelea na kauli mbiu hiyo hapo 2020; kwani mabadiliko yamekwisha patikana na yanaendelea kupatikana chini ya serikali ya awamu ya tano.

Iwapo upinzani watahubiri mabadiliko, Je ni mabadiliko gani hayo?

Benmpo
CCM hawamu hii imefanya madiriko yepi vile......................
 
MAGUFURIZM ni ugonjwa hatari unaoua zaidi ya ugonjwa wa UKIMWI & MARALIA
 
Back
Top Bottom