kama umepata nafas chuo hucka hamna kusubir transfer online..cha msingi ni kuchukua admission letter chuo ulchochaguliwa na admission letter chuo unachohamia unaenda navyo tcu ili kufanya confirmation,tcu wanatoa tranfer online ili kuepuka cost za wewe kufatilia nafasi chuo unachotaka...
Shamba la heka 29 ambalo baadhi ya sehemu yake imepandwa miti 2300 ya mbao ambayo kwa sasa imemalza miaka 3 toka ipandwe linauzwa kwa sh million 40 jumla na miti yake.
Shamba hilo linapatikana Geita mjini.
Kwa anayehitaji ni cheki hewani kwa namba 0769031693 kwa masiliano zaidi!
kwanini balali alivyokufa alizikiwa huko huko marekan? kwan hakuwa mtanzania,mbona viongoz wengine wa tanzania wakifariki huwa wanaletwa,sasa iweje yeye azikiwe huko,alkufa kwel au watanzania tumefungwa macho,dah membe kanishangaza sana kusome balali alizikiwa makabur ya marekani
atapata make had 3rd round bado inaonekana kuna nafas,xo bado haijajaa,asubir tu dirisha la transfer la tcu lifunguliwe mara baada ya kufungwa kwa 3rd round
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.