Picha: Kumbe gari AGX 404 MC lenyewe ndo hili lililomteka MO!

Kuonesha picha tu haitoshi. Commitment kwenye kumsaka ndio kiu ya watanzania wote wanaoitakia mema nchi hii.

Huyo mkuu anapaswa kuwa analeta updates kuwa wamefikia hapa au pale kwenye msako.

Kitendo cha familia kutangaza dau kwangu mimi nadhani waliona serikali iko kimya sana.

Kwa kuwa ni jukumu la serikali kulinda raia wake na mali zao, serikali ndio ilikuwa na jukumu la kutoa zawadi kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa MO sio familia yake.

Wamarekani wameshaanza uchunguzi so far.

CCTV: American Intelligence Groups Currently Looking Into Kidnapping Of Tanzanian Billionaire Mohammed Dewji As Kenyan Lady Muthoni Gathithu Questioned

Mi nimesoma hiyo link naona jamaa wako makini kuliko hawa police wetu wanaotuletea story za ajabu ajabu zisizo na kichwa wala miguuu

hao wameonesha hadi wahusika

gari la siro si halisi maana cctv haiwezi nasa mbele na nyuma ya gari kwa gari stationary.... tena bora ingekuwa ariel picture hiyo imepigwa kwa kamera ya kawaida ya simu
 
Sasa wao washasema haoni sababu ya kuita uchunguzi kutoka nje kwavile mambo mengi wamemaliza wenyewe..Unadhani itakuwaje hapo
Kama hiyo ndo Gari iliyomteka MO bhasi Wakiitwa FBI kazi imeishaa maana Hilo gari information zake zote zinaweza kupatikana...toka kutengenezwa mpaka kununuliwaa...!!
 
Sasa wao washasema haoni sababu ya kuita uchunguzi kutoka nje kwavile mambo mengi wamemaliza wenyewe..Unadhani itakuwaje hapo
Uchunguzi ulipofikia sasa Unahitaji Tecknlojia Zaidi kuliko Nguvu za Kivitaa na mabundukii...!! Ila ngoja tuonr mwisho wake maana duuh
 
Screenshot_20181019-101715~01.jpeg
 
Kuonesha picha tu haitoshi. Commitment kwenye kumsaka ndio kiu ya watanzania wote wanaoitakia mema nchi hii.

Huyo mkuu anapaswa kuwa analeta updates kuwa wamefikia hapa au pale kwenye msako.

Kitendo cha familia kutangaza dau kwangu mimi nadhani waliona serikali iko kimya sana.

Kwa kuwa ni jukumu la serikali kulinda raia wake na mali zao, serikali ndio ilikuwa na jukumu la kutoa zawadi kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa MO sio familia yake.

Wamarekani wameshaanza uchunguzi so far.

CCTV: American Intelligence Groups Currently Looking Into Kidnapping Of Tanzanian Billionaire Mohammed Dewji As Kenyan Lady Muthoni Gathithu Questioned
Mkuu alete updates wapi mitandaoni? Sasa akileta updates huoni kama atasaidia hata wahalifu kujipanga zaidi? Serikali mara nyingi hazitoi RANSOM kuepuka watekaji kufanya huo ni mtaji. Kwa maelezo aliyoyatoa sio mbaya sana tuwaache wafanye kazi yao.
 
Naona wanadanganya tu mara wazungu mara wa msumbiji mara kibiti hata kama wanatengenezea script mh hawako makin
 
Kama hiyo ndo Gari iliyomteka MO bhasi Wakiitwa FBI kazi imeishaa maana Hilo gari information zake zote zinaweza kupatikana...toka kutengenezwa mpaka kununuliwaa...!!
Hata hawa hawa mnaowadharau washasema hapo juu wamejua hayo unayosema FBI wangeyajua.
 
Hata hawa hawa mnaowadharau washasema hapo juu wamejua hayo unayosema FBI wangeyajua.
Haya ndo maana nasema ni hatua nzuri japo Wangekuja kutoja Nje imani ingekuwa kubwa zaidi na hofu juu ya serikali kuhusika ingeisha..!
 
Hilo gari limepigwa picha likiwa stationary na kawaida cctv camera ziko juu ila picha zaonesha kamera na gari ziko sawa........

Kwanini hawajatuonesha wahusika haswa maana haiwezekani wahusika wasionekane hata kama wako kwenye hood zao

Kwanini hawajauliza wafanya mazoezi wenzake maana inasemekana watekaji walikuwa ndani na walikuwa na bunduki kwenye taulo za gym

na inasemekana aliyemchukua alivaa fulana ya blue

kwanini gari lipotelee round about ya kawe? Maana yake hilo gari lazima tu litakuwa limeenda maeneo ya mbezi beach b au bunju?

ila kutoka round about ya kawe kuna cctv jengo la ctm (wanapouza vigae)
Kuna kamera kwenye taasisi ya Mkapa
kuna kamera maduka ya waturuki kwenye kuuza mikate

kuna kamera pharmacy ya wadada karibu na daraja la malechela

kuna kamera kwenye maduka ya wachina karibu na rain bow njiapanda

kuna kamera sehemu nyingi sana mitaa hiyon capital plaza lina kamera hadi hapo tumefika karibu na jeshini

kabla hujafika kwenye round about ya white sands kuna kamera kwenye nyumba za kusaga zote mbili

Msinitafute tu maana nimetoa taarifa mfatilie haiwezekani gari liishie Kawe

CCTV: American Intelligence Groups Currently Looking Into Kidnapping Of Tanzanian Billionaire Mohammed Dewji As Kenyan Lady Muthoni Gathithu Questioned
 
Kwa dar es salaam(Tanzania) mpaka ulio karibu ni Kenya kupitia horohoro Tanga,ni zaidi ya masaa 4 ili ufike boda na usisahau tochi njiani.sijaelewa anachosema Siro na huo weledi wa polisi kwenye hili suala naona ukakasi
 
Ukifuatilia hii issue utapata mtindio,

Finally Mo apatikane au asipatikane ila Wawekezaji wapya tusahau hilo halipingiki.

Kama utekaji ule ulilengwa kupoteza sura ya mwendokasi basi mastermind waliingia chakike.
Wazungu wanasema "too late" to spare the situation.
 
vipi kama watekaji wameamua kutuchezea tu maana ni ngumu sana kwa cctv kuonesha picha za gari mbele na nyuma tena hillo gari halitembei
Hivi munataka nini mlidai cctv wameonesha gari ohohho haitembei sasa munataka waseme wamemteka wao
 
Kwa maelezo ya IGP Simon Sirro kwenye mkutano na waandishi wa habari ni gari aina ya Toyota Hilux Surf, rangi ya blue na, anasema limetoka nchi jirani ambayo hakuitaja.!View attachment 903078View attachment 903080View attachment 903081

1. Picha inayoonyeshwa na IGP kwenye tukio la kutekwa kwa Mo Dewji inaoneshwa umepigwa MCHANA

2. Picha inayoonyesha plate number za nyuma ukiangalia kwa makini kwa mbele parking ya collosium haipo hivyo

3. Parking ya collosium paving ni kujibu wakati hii ya kwenye gari paving ni red

4. Picha za IGP inaonesha gari limepark nyumban sio collosium

5. Picha za IGP zimekuwa captured na kamera ya kawaida maana inaonesha mpigaji alipiga picha horizontal na Cctv camera zicapture matukio from top

6. Parking ya collosium haipo vile ili ni chenga la macho

7. Huu ni mchezo wa kuigiza
 
Msinitafute tu maana nimetoa taarifa mfatilie haiwezekani gari liishie Kawe

Jifunze kusikiliza vizuri..
Ujuaji wa kujifanya upo juu huku kusikiliza maneno mengine kumbe huelewi..
Jionee aibu DUH.. kituko
 
MMMMMMmmmm! hatua nzuri sana na hili tulishauri mapema sana. kuweka mambo siri siri muda mrefu. kwa siku nyingine sio vizuri. Mapema baada ya tukio picha hii ingetolewa watu wangejua gari hili limepita wapi na wapi.

Hatua nzuri. sasa wananchi tuwasaidie polisi wetu gari hilo limepaki wapi? na kuondoaka na kupaki wapi pengine. Angalau tumerudisha Imani yetu kwenu Polisi.

Hata hivyo Kamanda Mmekaa kimya sana.

tunashukuru Karibia tutampata Mo wetu!
 
Back
Top Bottom