Recent content by JOSEDIZOZ

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rwanda imeamua liwalo na liwe.......!!!

    tatizo ni UJUHA TU unawasumbua majirani zetu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Amani iwe nanyi

    Amani iwe nanyi watanzania wenzangu.chapeni kazi km mchwa.hata roma haikujengwa kwa cku moja.tchao..!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Eti CBE Dodoma na Dar es Salaam baadhi yao hufaulu mitihani yao kwa kuhonga Pesa na Ngono ?

    mwanafunzi wa elimu ya juu afu bado unababaishwa na mwalimu wako.si tulisha mfanyia kitu mbaya kwa mtindo wao huo wa kipuuzi na hatasahau kamwe maishani mwake.jiamini chukua hatua za msingi.we ukilalama hapa asiyesoma afanye nn?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Askari wa Kagame wapiga kambi mpakani mwa Karagwe;

    km wako mpakani mwao haina shida wanalinda nchi yao bt km wanalingne wasije thubutu.Afrika nzima inalitambua jeshi la Ardhini la tz.TUKO IMARA KULIKO UNAVYOWEZA KUFIKIRI.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Uvivu nacho chanzo cha wadada kuwa makahaba

    hasa dada zetu hawa wa kitanzania.si wote wengne ni wasaka noti hasa bt majority ni wavivu kazi kuuza TIGO.mengine makubwa kula bure kulala bure kwao lakini malaya kweli.
  6. J

    JamiiForums Tanzania 4 ever living

    Pouwa mazee. Got u.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mtandao

    are you from for ever living?kuna kitu nataka kushare na ww?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa juni haujatoka hadi leo Tarehe 8 Julai

    chukua hatua.bado wanatafuta pa kukopa.wamebankrupt.
  9. J

    JamiiForums Tanzania 4 ever living

    Wazee, Kuna hii kampuni ya Forever Living, inadeal na products kama lotion, juice, dawa za miswaki. Kuna mtu yupo humo ananishawishi kujoin the deal. Kwamba you can make milions of money easily. Kama kuna mtu ashakuwa milionea through this company anitonye.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mkopo postgraduate ya education

    kwa nn unataka kufanya PG ya educatio?kw nn first degree hukutaka kufanya elim.kama tayari una ajira kwa nn bado unataka kutumia pesa ya mlipa kodi wakati kuna kijana kamaliza 6 anategemea aombe mkopo asome nae apate ajira kama ww.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mishahara duni ya walimu ni nguzo kuu ya kushuka kwa elimu nchini

    wako bize na nyuki.akili finyu.sijui nchi zilizoendelea wamefika pale kwa kufuga nyuki.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tangazo la serikali kuhusu mishahara mipya

    mwaka huu serikali haitaongeza kitu kwenye mishahara.makusanyo ya mapato ni madogo ukilinganisha na matumizi.la msingi watu wajitume kufanya kazi pato la serikali liongezeke mtaongezwa hzo pesa.chapa kazi mdau.hakuna nyongeza ya salary.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) mnajifunza nini kutoka Chama Cha Walimu wa Kenya?

    wejifunze kitu gani ilihali wapo kwa maslahi yao.wanafiki tu hawa.wanaandaa migomo ambayo baada ya cku moja wanatangaza kusitisha.hakuna chama cha walimu TZ kuna wababaishaji tu.waliomba ongezeko la aslm 100 wakaambiwa hata asilmia moja hawaongezwi na wakafyata makalio mpaka leo.
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda huyu kaka

    nijuavyo waimba kwaya sio mapadre ama maaskofu.mfungukie.lakini lengo liwe kuoana.mwambie napenda sana uje kuwa mume wangu kama huna ahadi na mtu.
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke usimtamkie haya mwanaume

    we mtoto una mambo.
Back
Top Bottom