Eti CBE Dodoma na Dar es Salaam baadhi yao hufaulu mitihani yao kwa kuhonga Pesa na Ngono ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti CBE Dodoma na Dar es Salaam baadhi yao hufaulu mitihani yao kwa kuhonga Pesa na Ngono ?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mchokozi, Mar 15, 2012.

 1. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimesikitishwa sana na habari nilizozipata kutoka kwa wanafunzi wanaosoma katika vyuo hivyo pale waliponieleza kuwa kuna baadhi ya wanafunzihuwa wanafaulu mitihani yao ya mihula kwa kuhonga Pesa na Ngono, mfano ni pale mwalimu wa CBE Dodoma (Jina ninalo) anapofikia kutamba hadharani mafanikio aliyoyapata kila mwaka kutokana na hongo la 100,000/= kwa kila wanafunzi aliye mkamata, mwaka huu wanafunzi niliowakamata ni lazima Mninunulie gari kwani mwaka jana mlinijengea nyumba.

  Na pale CBE Dodoma ( jina tunalo) kuna mwalimu anayefundisha masomo ya IT na anapenda sana kufuga nywele yeye akikutamani mtoto wa kike huwezi kupenya somo lake mpaka umhonge ngono ukikataa ujue uta disco. Katika udadisi wangu kwa CBE Dodoma wanafunzi hutoa kuanzia 50,000/= mpak 100,000/= kwa somo moja kwa kila mwanafunzi.
   
 2. m

  massai JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nikweli kabisa,kuna rafiki yangu alikua anasoma cdti monduli kunamwalimu mmoja alikua anamsumbua sa na kumtishia kua ,hujui cheti chako ninacho mimi,kwamaana yakwamba asipomkubalia kingono basi atamfelisha somo analofundisha.serekali imelala kabisa ,wanetu wanateswa sana jamani huko vyuoni.jaribu kufuatilia kama unamwanao uone atakupa jibu gani.
   
 3. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Je Tanzania bila UKIMWI itawezekana?
   
 4. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Swali:
  Je katika elimu Tanzania, mwalimu mmoja ndiye anayekuwa na uwezo wa kukufelisha (at least level of higher education), au kuna commitee ambayo itapitia mitihani na kufanya huo uamuzi? Kama umefanya mtihani na una point kuwa haukustahili kufeli, kwani hakuna procedure mtu anaweza kuchukua dhiti ya hayo maamuzi? Nauliza kwani inaonekana labda kuna wengine hawajui hili au watatumia kigezo kuwa nime'fail kwa sababu mwalimu alikuwa hivi.
  Pia napenda kuongezea kuwa, kama wapo, ni asilimia ndogo sana ya walimu wa aina hii, na kama kuna ushahidi, basi mmeshafika "level" ya kuwa waelewa na kuchukua right legal recourse.

  Mleta mada, weka hayo majina hapa...
   
 5. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,772
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 280
  Huu ni udaku wa kawaida kabisa. Unayoongea ni mambo ya zamaaani sana katika vyuo tena siyo CBE tu bali vyuo vingi tu nchi hii.
   
 6. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Tz ni nchi ya vyeti, elimu hakunaga. Mara nyingi cheti kinapatikana kwa FEDHA au NGONO. Ndio maana tupo hapa tulipo.
   
 7. g

  gwendoline mushi Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tz vyuo issue km Hiyo mbona sana mpaka imezoeleka coz ukitoka taarifa kwa wakuu wa chuo ili upate msaada.haupewi zaidi wanakugeuzia kibao na kukugandamiza watu hawa wanalindanaana.sijui wanachuo wakimbilie wapi na serikali yetu ipo tu inatoa macho
   
 8. m

  mcantony New Member

  #8
  Jul 13, 2013
  Joined: Jul 5, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi kama mmojawapo wa wanafunzi wa kiume wanaosoma kwenye chuo hicho campasi ya Dodoma nadhani huyo mwalimu hana time na mtu.Yeye hufuata ukweli na wanafunzi wengi hawapendi ukweli.Mimi kanifundisha ict na kama ukifuata anayoukuelekeza wala hana muda na mtu.Nashangaa wanaompakazia huyo mwalimu wetu.Kama wasichana wana matatizo yao ni yao wenyewe kwani wasichana wengi CBE hawapendi kusoma bali wanataka wasaidiwe maksi za bure.NALAANI KITENDO HIKI MLICHOKIFANYA SI KIZURI KWENYE JAMII
   
 9. Root

  Root JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2013
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 22,328
  Likes Received: 7,785
  Trophy Points: 280
  Mitihani haina Miujiza
   
 10. J

  JOSEDIZOZ Senior Member

  #10
  Jul 13, 2013
  Joined: Dec 29, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwanafunzi wa elimu ya juu afu bado unababaishwa na mwalimu wako.si tulisha mfanyia kitu mbaya kwa mtindo wao huo wa kipuuzi na hatasahau kamwe maishani mwake.jiamini chukua hatua za msingi.we ukilalama hapa asiyesoma afanye nn?
   
 11. L

  Larusai Mux JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2013
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 969
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  jf!,where we dare to talk openly!,si useme ni ticha Ruma tu?!
   
 12. L

  Larusai Mux JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2013
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 969
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  mwana cbe feki wewe!,watoto wa cbe ni wavivu sana!,ndo mana wanapenda max za kupewa!,unamtetea Ruma sababu hajawah mtaka dem wako?
   
 13. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2013
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,929
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Weka hadhalan majina kama vp nipm
   
 14. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2013
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,721
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nimesoma cbe dsm
  mimi ni mwanaume so singeweza kutoa rushwa ya ngono na nilikuwa nategemea boom la loan board.
  nilichokijua ili nifaulu ni kusoma kwa kuelewa na sio kukalili mpaka namaliza nilitoka na gpa ya 3.6 na chuo kilikuwa kinanidai.
  sikuwahi kuombwa hela wala kusupu
   
 15. Einsten

  Einsten JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2013
  Joined: Mar 15, 2013
  Messages: 576
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  NIT unatoa. 100,000 unapewa cheti cjui ksm 2tfka kwel.!!!
   
 16. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2013
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,450
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Unesahau..na kupiga picha za
  ngo.no na kuweka youtube ..hivi vyuo vingine nadhan vifungwe tu..
   
 17. s

  scopio Member

  #17
  Jul 14, 2013
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  so it is better to mention the name of that person so that we can deal with them through servial purnishiment and it will be warning to the other tutors who discourage as well as demise the life of university student.
   
 18. s

  spleen JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2013
  Joined: Apr 24, 2013
  Messages: 1,056
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Ok! nimesoma thread zenu mimi ndio mkuu RUMO mzee wa ICT CBE hapa,tatizo lenu wanafunzi wa kike hamtaki kusoma munakuja kwangu na night dress eti niwape marks,watoto wa kiume kazi kunyoa viduku,kuvaa hereni na milegezo halafu munajiita wahasibu.....aibu yenu,mukipata munachostahili kwenye paper ndio munakuja huku JF kuleta uongo,subiri nitoe matokeo on middle august niwaoneshe nilisomaje IT UD pale enzu zangu
   
Loading...